nyinyi wazanzibari mkiguswa mnadeka kama mashoga, utamaduni wenu.
achia ya moto wa juzi, leo biashara zingine zimefungwa bila sababu yoyote na maafsa wa wilaya, na kuwanyang'anya leseni zao, ni Rastaurant mbili za kitalii huko huko kazkazini Unguja...
na hao watetewe na nani? Watanganyika hawana kwao?
Watanganyika tuwahi maduka Namanga za Kariakoo, lakini za Namanga ndo dili!!!! mimi nawahi.
Moto wa Watanganyika ndio utakaowaamsha hao wakubwa ili waibembeleze Zanzibar kama kawaida yao, mimi naenda chagua kabisa duka namanga, manake moto hauko mbali kwa wapemba
Hawa ni mambwiga sana .
Yanajifanya hayataki muungano lakini toka wamekinukisha huko zenji wengi wao wanakimbilia huku bara sasa najiuliza wao hawataki muungano wamekinukisha kwao halafu wanatimukia huku je wanafuata nin? Sasa??
Wanang'ang'ani muungano ni walamba asali wa chama cha mafisi (ccm)Hi
Watanganyika hoja yao kuu ni kwamba kwenye muungano hawana chombo chao cha maamuzi (Tanganyika), huku Wazanzibar hoja yao kubwa ni kwamba wanakosa nguvu ya moja kwa moja kwenye majukwaa mbalimbali ya kimataifa. Wanashindwa kujiunga na union mbalimbali kama UMOJA WA NCHI ZA KIARABU, UN n.k
Sasa ni nani anaushikilia huu muungano kama sio Ibilisi?
Ibilisi ndiye huwakaba watu makohoni bila hiyari yao
Tumkatae Ibilisi.
Viongozi wa CCM ndiyo wanaukumbatia huu muungano wa mchongo. Tufanyeni dua ili Mungu aingilie kati hii cream yote ya CCM ifyekelewe mbali na uzuri Corona imeanza kuchanganya tenaHi