Wazanzibari hawataki muungano wanawafukuza wabara visiwani kwao

Wazanzibari hawataki muungano wanawafukuza wabara visiwani kwao

Wazanzibari wanaamndamana hawataki Muungano. Fine.

A word of caution! Si mazuri sana kuyashabikia na wala si mabaya sana kuyakataa.

Tuyatafakari kama nchi!

TATIZO: Nani atafakari? Hayupo!
Ya zamani hii
 
Wazanzibari wanaamndamana hawataki Muungano. Fine.

A word of caution! Si mazuri sana kuyashabikia na wala si mabaya sana kuyakataa.

Tuyatafakari kama nchi!

TATIZO: Nani atafakari? Hayupo!
Ni kweli karne ya leo muungano ni matakwa ya wananchi, kama upande mmoja hawataki, mawazo yao ni sahihi, kama the "superpower soviet union" ilivunjika, sisi tuna nini cha kugain kwa huo muungano??
 
Wazanzibari wanaamndamana hawataki Muungano. Fine.

A word of caution! Si mazuri sana kuyashabikia na wala si mabaya sana kuyakataa.

Tuyatafakari kama nchi!

TATIZO: Nani atafakari? Hayupo!
Mnarusha clip za miaka 10 iliopita, ukikamatwa kwa uchochezi utajibu nini
 
Wazanzibari wanaamndamana hawataki Muungano. Fine.

A word of caution! Si mazuri sana kuyashabikia na wala si mabaya sana kuyakataa.

Tuyatafakari kama nchi!

TATIZO: Nani atafakari? Hayupo!
KUNA NDUGU MMOJA KAKOMEMT ANASEMA " SASA ITAKUWAJE KWA WAPEMBA WANAOISHI BARA' NA MIMI NIMUULIZE IWEJE SASA KWA WATANZANIA WANAOISHI DURBAN, PORT ELIZABETH, JOHANNESBURG NA CAPE TOWN NA NCHI ZAO HAZIJAUNGANA?
 
Nyie wazanzibari mmenunua mashamba ya karafuu matombo na mnaishi matombo endeleeni tunawaangalia tu.
 
Back
Top Bottom