Ya zamani hiiWazanzibari wanaamndamana hawataki Muungano. Fine.
A word of caution! Si mazuri sana kuyashabikia na wala si mabaya sana kuyakataa.
Tuyatafakari kama nchi!
TATIZO: Nani atafakari? Hayupo!
Wasiufute , Muungano hauna maana kabisa 😂 kuna siku akiingia Rais mwehu anaufutaActive mnaweza kuufuta uzi huu usilete taharuki mana ni y zamani...kumbukizi
Jina la Tanganyika lishakufa halipo tenaSema mtanganyika kutoka mkiru
hao waliondamana ni wa kwenu huko kebhanchabhancha? shuwain🚮🚮!Hakuna mzanzibari asiyetaka muungano
Ni kweli karne ya leo muungano ni matakwa ya wananchi, kama upande mmoja hawataki, mawazo yao ni sahihi, kama the "superpower soviet union" ilivunjika, sisi tuna nini cha kugain kwa huo muungano??Wazanzibari wanaamndamana hawataki Muungano. Fine.
A word of caution! Si mazuri sana kuyashabikia na wala si mabaya sana kuyakataa.
Tuyatafakari kama nchi!
TATIZO: Nani atafakari? Hayupo!
Mnarusha clip za miaka 10 iliopita, ukikamatwa kwa uchochezi utajibu niniWazanzibari wanaamndamana hawataki Muungano. Fine.
A word of caution! Si mazuri sana kuyashabikia na wala si mabaya sana kuyakataa.
Tuyatafakari kama nchi!
TATIZO: Nani atafakari? Hayupo!
hata kama ujumbe si umefika? muungano ni dude la hovyo hawalitakiHiyo Video ya Zamani sana acha kukurupuka.
KUNA NDUGU MMOJA KAKOMEMT ANASEMA " SASA ITAKUWAJE KWA WAPEMBA WANAOISHI BARA' NA MIMI NIMUULIZE IWEJE SASA KWA WATANZANIA WANAOISHI DURBAN, PORT ELIZABETH, JOHANNESBURG NA CAPE TOWN NA NCHI ZAO HAZIJAUNGANA?Wazanzibari wanaamndamana hawataki Muungano. Fine.
A word of caution! Si mazuri sana kuyashabikia na wala si mabaya sana kuyakataa.
Tuyatafakari kama nchi!
TATIZO: Nani atafakari? Hayupo!