Mbona hujauliza ya Karume?Kwanza nimekataa kupewa huduma ya ufunguzi wa Akaunti baada ya kukuta picha ya Samia suluhu hassani Na Dr mwinyi kwenye benk ya zanzibari hii Ina maana nyie hamtambui yakuwa Baba wa Taifa alikuwa Baba wa Tanzania means Tanganyika na zanzibari?
Sasa benk za bara nazo ziige upuuzi hii?
We tafuta pesa achana na mambo ya picha, hilo linasaidiaje mama ako uko mkoani.Kwanza nimekataa kupewa huduma ya ufunguzi wa Akaunti baada ya kukuta picha ya Samia suluhu hassani Na Dr mwinyi kwenye benk ya zanzibari hii Ina maana nyie hamtambui yakuwa Baba wa Taifa alikuwa Baba wa Tanzania means Tanganyika na zanzibari?
Sasa benk za bara nazo ziige upuuzi hii?
Nyerere alituingiza chaka hakuna Muungano pale.Kwanza nimekataa kupewa huduma ya ufunguzi wa Akaunti baada ya kukuta picha ya Samia suluhu hassani Na Dr mwinyi kwenye benk ya zanzibari hii Ina maana nyie hamtambui yakuwa Baba wa Taifa alikuwa Baba wa Tanzania means Tanganyika na zanzibari?
Sasa benk za bara nazo ziige upuuzi hii?
Hii nchi kila mtu ana baba yake na mama yake tusichoshane akili.Kwanza nimekataa kupewa huduma ya ufunguzi wa Akaunti baada ya kukuta picha ya Samia suluhu hassani Na Dr mwinyi kwenye benk ya zanzibari hii Ina maana nyie hamtambui yakuwa Baba wa Taifa alikuwa Baba wa Tanzania means Tanganyika na zanzibari?
Sasa benk za bara nazo ziige upuuzi hii?
Amewekwa Mwinyi kwa kigezo kipi, Rais wa Kwanza wa Tanzania au?Kwanza nimekataa kupewa huduma ya ufunguzi wa Akaunti baada ya kukuta picha ya Samia suluhu hassani Na Dr mwinyi kwenye benk ya zanzibari hii Ina maana nyie hamtambui yakuwa Baba wa Taifa alikuwa Baba wa Tanzania means Tanganyika na zanzibari?
Sasa benk za bara nazo ziige upuuzi hii?
Karume ni Rais wa kwanza wa Tanzania?We jamaa wa ajabu kwel kwel ,yaani kisa hujakuta picha ya Nyerere ,ndio imekufanya usifungue accont
Vip ya karume uliikuta ?
Acha mambo ya ajabu fungua account hiyo