Wazanzibari tujuane humu

Wazanzibari tujuane humu

Naona mnaanza kutuchokonoa na vimaneno ili mradi tuongee tupigwe bani enyii wabaguzi kutoka kisiwa chenye elements za rainbow [emoji304]

Wenyewe wanakwambia #Sharewithpride
 
Naona mnaanza kutuchokonoa na vimaneno ili mradi tuongee tupigwe bani enyii wabaguzi kutoka kisiwa chenye elements za rainbow [emoji304]

Wenyewe wanakwambia #Sharewithpride
Ndugu yangu nipo magomeni hapa mapunga kibao yamejaaa unasemaje kuhusu hilo
 
Mjuane mna mpango gani nyie wamakunduchi.
 
Habari ndugu zangu mumeambajee natumai nyote mpo salama

Haya mm ni kijana wa kipemba GOMBANI ila ninaishi dar es salaam . Ningependa kuwa tambua ndugu zangu wengine mliojiunga humu tufahamiane tu.
Yakhee kwema huko nyuma utokako?
 
Back
Top Bottom