kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,323
- 12,594
Nasikia kule kwenu mabwabwa wanazidi kuongezeka.Habari ndugu zangu mumeambajee natumai nyote mpo salama
Haya mm ni kijana wa kipemba GOMBANI ila ninaishi dar es salaam . Ningependa kuwa tambua ndugu zangu wengine mliojiunga humu tufahamiane tu.