round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 345
- 1,145
Hapo kabla ufaulu wa mitihani ya form 4 na form 6 ulikuwa mbaya sana Zanzibar, mbaya sana,
Kuanzia miaka ya 2020s ufaulu umekuwa mkubwa sana sio tu Zanzibar ila hata mikoa iliyokuwa ikifanya vibaya bara.
Wazanzibari wengi walishindwa kufika vyuoni kwasababu ya kufeli Necta lakini muda huu wengi wanafaulu kwenda vyuoni, na kama mnavyojua vyuoni uwezekano wa kuhitimu ni mkubwa sana ndio maana hata wenye D mbili za form 4 wakifika vyuoni wanahitimu. ukishahitimu chuo unapewa cheti, tayari unazo sifa za kuajirika.
Ule mgao wa nafasu za ajira 21 % unaenda kujazwa kikamilifu
Katika ajira zinazotrend kwa sasa ni hizi za TRA, wazanzivar wanaenda kulamba 21 % yao