Waende kwa wanywa supu ya vibudu eh ??Miaka 6 iliyopita wazawa waliofanikiwa kupenya kikosi cha Simba;
1. Manura
2. Kapombe
3. Zimbwe
4. Mzamiru
Hao ndio wachezaji pekee wamefanikiwa na nadhani ni kwa sababu walianza na ile Simba iliyokuwa inapanda.
Miaka sita sasa Simba kila mwaka inasajiri wachezaji wengi tu wazawa ila aliyefanikiwa kupenya ni Kibu pekee (na yeye sio mbongo, kapewa tu uraia), wengine wanasajiriwa mapambo!
Nadhani wachezaji wazawa umefika muda waiogope Simba.
Ni kweliKagoma ana quality ya kucheza simba kabisa he is better than kanoute
Miaka 6 iliyopita wazawa waliofanikiwa kupenya kikosi cha Simba;
1. Manura
2. Kapombe
3. Zimbwe
4. Mzamiru
Hao ndio wachezaji pekee wamefanikiwa na nadhani ni kwa sababu walianza na ile Simba
Miaka 6 iliyopita wazawa waliofanikiwa kupenya kikosi cha Simba;
1. Manura
2. Kapombe
3. Zimbwe
4. Mzamiru
Hao ndio wachezaji pekee wamefanikiwa na nadhani ni kwa sababu walianza na ile Simba iliyokuwa inapanda.
Miaka sita sasa Simba kila mwaka inasajiri wachezaji wengi tu wazawa ila aliyefanikiwa kupenya ni Kibu pekee (na yeye sio mbongo, kapewa tu uraia), wengine wanasajiriwa mapambo!
Nadhani wachezaji wazawa umefika muda waiogope Simba.
iliyokuwa inapanda.

Hao wazawa wa Simba unataka tu wacheze sababu ni wazawa au kwa uwezo? Uchambuzi wako ungekuwa mzuri ungetuambia mzawa gani ana ubora pale Simba kuzidi wageni. Yaani mwenyeji yupi aanze badala ya mgeni yupi. Wazawa wajitume hakuna njia ya mkato.Miaka 6 iliyopita wazawa waliofanikiwa kupenya kikosi cha Simba;
1. Manura
2. Kapombe
3. Zimbwe
4. Mzamiru
Hao ndio wachezaji pekee wamefanikiwa na nadhani ni kwa sababu walianza na ile Simba iliyokuwa inapanda.
Miaka sita sasa Simba kila mwaka inasajiri wachezaji wengi tu wazawa ila aliyefanikiwa kupenya ni Kibu pekee (na yeye sio mbongo, kapewa tu uraia), wengine wanasajiriwa mapambo!
Nadhani wachezaji wazawa umefika muda waiogope Simba.
Mashabiki wa hii timu wengi ni mataahiraHao wazawa wa Simba unataka tu wacheze sababu ni wazawa au kwa uwezo? Uchambuzi wako ungekuwa mzuri ungetuambia mzawa gani ana ubora pale Simba kuzidi wageni. Yaani mwenyeji yupi aanze badala ya mgeni yupi. Wazawa wajitume hakuna njia ya mkato.
Vipi kuhusu,Boko,Adam Salamba,Mwenda,Kakolanya,
Hao wazawa wa Simba unataka tu wacheze sababu ni wazawa au kwa uwezo? Uchambuzi wako ungekuwa mzuri ungetuambia mzawa gani ana ubora pale Simba kuzidi wageni. Yaani mwenyeji yupi aanze badala ya mgeni yupi. Wazawa wajitume hakuna njia ya mkato.
Hivi yule kipa sijui Salim na bwana Ayubu nani angalau?Hao wazawa wa Simba unataka tu wacheze sababu ni wazawa au kwa uwezo? Uchambuzi wako ungekuwa mzuri ungetuambia mzawa gani ana ubora pale Simba kuzidi wageni. Yaani mwenyeji yupi aanze badala ya mgeni yupi. Wazawa wajitume hakuna njia ya mkato.
Salim angalau ndiyo maana amemuweka bench ayoub.Hivi yule kipa sijui Salim na bwana Ayubu nani angalau?
Uongo wako utakupeleka wapi? Hivi unaweza kuthubutu kusema kuwa katika miaka 6 iliyopita wafuatao hawakuwahi kupenya kikosi cha Simba: Kakolanya, Bocco, Kibu Denis, Nungunungu na wengine wapo wengi tu!!(japo kwa sasa yupo Yanga) lakini miaka 6 iliyopita alikuwa Simba!! kama Kakolanya alivyokuwa Simba!!Miaka 6 iliyopita wazawa waliofanikiwa kupenya kikosi cha Simba;
1. Manura
2. Kapombe
3. Zimbwe
4. Mzamiru
Hao ndio wachezaji pekee wamefanikiwa na nadhani ni kwa sababu walianza na ile Simba iliyokuwa inapanda.
Miaka sita sasa Simba kila mwaka inasajiri wachezaji wengi tu wazawa ila aliyefanikiwa kupenya ni Kibu pekee (na yeye sio mbongo, kapewa tu uraia), wengine wanasajiriwa mapambo!
Nadhani wachezaji wazawa umefika muda waiogope Simba.
mzamiru yassin nkUongo wako utakupeleka wapi? Hivi unaweza kuthubutu kusema kuwa katika miaka 6 iliyopita wafuatao hawakuwahi kupenya kikosi cha Simba: Kakolanya, Bocco, Kibu Denis, Nungunungu na wengine wapo wengi tu!!(japo kwa sasa yupo Yanga) lakini miaka 6 iliyopita alikuwa Simba!! kama Kakolanya alivyokuwa Simba!!