Wazawa msisajiriwe Simba!

Wazawa msisajiriwe Simba!

Mubby777

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
1,628
Reaction score
5,681
Miaka 6 iliyopita wazawa waliofanikiwa kupenya kikosi cha Simba;

1. Manura
2. Kapombe
3. Zimbwe
4. Mzamiru

Hao ndio wachezaji pekee wamefanikiwa na nadhani ni kwa sababu walianza na ile Simba iliyokuwa inapanda.

Miaka sita sasa Simba kila mwaka inasajiri wachezaji wengi tu wazawa ila aliyefanikiwa kupenya ni Kibu pekee (na yeye sio mbongo, kapewa tu uraia), wengine wanasajiriwa mapambo!

Nadhani wachezaji wazawa umefika muda waiogope Simba.
 
Waende kwa wanywa supu ya vibudu eh ??
 
Miaka 6 iliyopita wazawa waliofanikiwa kupenya kikosi cha Simba;

1. Manura
2. Kapombe
3. Zimbwe
4. Mzamiru

Hao ndio wachezaji pekee wamefanikiwa na nadhani ni kwa sababu walianza na ile Simba
Miaka 6 iliyopita wazawa waliofanikiwa kupenya kikosi cha Simba;

1. Manura
2. Kapombe
3. Zimbwe
4. Mzamiru

Hao ndio wachezaji pekee wamefanikiwa na nadhani ni kwa sababu walianza na ile Simba iliyokuwa inapanda.

Miaka sita sasa Simba kila mwaka inasajiri wachezaji wengi tu wazawa ila aliyefanikiwa kupenya ni Kibu pekee (na yeye sio mbongo, kapewa tu uraia), wengine wanasajiriwa mapambo!

Nadhani wachezaji wazawa umefika muda waiogope Simba.

iliyokuwa inapanda.

Hao wazawa wa Simba unataka tu wacheze sababu ni wazawa au kwa uwezo? Uchambuzi wako ungekuwa mzuri ungetuambia mzawa gani ana ubora pale Simba kuzidi wageni. Yaani mwenyeji yupi aanze badala ya mgeni yupi. Wazawa wajitume hakuna njia ya mkato.
 
Wanapaswa kujituma na kufanya makubwa zaidi ya wageni, tofauti na hivyo hakuna mswahili anaeweza kukataa mshahara wa Simba, kwani unadhani hawajui wanavyo kaa benchi muda mrefu wanaua viwango vyao🤔🤔 lakini msimu ukiisha wanaongeza mikataba ya kuendelea kukaa kwenye mbao ndefu, mpira pesa
 
Hao wazawa wa Simba unataka tu wacheze sababu ni wazawa au kwa uwezo? Uchambuzi wako ungekuwa mzuri ungetuambia mzawa gani ana ubora pale Simba kuzidi wageni. Yaani mwenyeji yupi aanze badala ya mgeni yupi. Wazawa wajitume hakuna njia ya mkato.
Mashabiki wa hii timu wengi ni mataahira
 
Hao wazawa wa Simba unataka tu wacheze sababu ni wazawa au kwa uwezo? Uchambuzi wako ungekuwa mzuri ungetuambia mzawa gani ana ubora pale Simba kuzidi wageni. Yaani mwenyeji yupi aanze badala ya mgeni yupi. Wazawa wajitume hakuna njia ya mkato.

Hatta sijasema wawaweke wagen benchi ninesema wazawa pekee wanaaminiwa simba ni wale walioanza wakat inaanza kupata mafanikoo basi
So baada ya hapo amna aliyetoboa hata kucheza no ya mzawa mwenzake
 
Nasoro Kapama bado yupo Simba? Huyu jamaa kweli alishindwa kupambania namba?
 
Hao wazawa wa Simba unataka tu wacheze sababu ni wazawa au kwa uwezo? Uchambuzi wako ungekuwa mzuri ungetuambia mzawa gani ana ubora pale Simba kuzidi wageni. Yaani mwenyeji yupi aanze badala ya mgeni yupi. Wazawa wajitume hakuna njia ya mkato.
Hivi yule kipa sijui Salim na bwana Ayubu nani angalau?
 
Miaka 6 iliyopita wazawa waliofanikiwa kupenya kikosi cha Simba;

1. Manura
2. Kapombe
3. Zimbwe
4. Mzamiru

Hao ndio wachezaji pekee wamefanikiwa na nadhani ni kwa sababu walianza na ile Simba iliyokuwa inapanda.

Miaka sita sasa Simba kila mwaka inasajiri wachezaji wengi tu wazawa ila aliyefanikiwa kupenya ni Kibu pekee (na yeye sio mbongo, kapewa tu uraia), wengine wanasajiriwa mapambo!

Nadhani wachezaji wazawa umefika muda waiogope Simba.
Uongo wako utakupeleka wapi? Hivi unaweza kuthubutu kusema kuwa katika miaka 6 iliyopita wafuatao hawakuwahi kupenya kikosi cha Simba: Kakolanya, Bocco, Kibu Denis, Nungunungu na wengine wapo wengi tu!!(japo kwa sasa yupo Yanga) lakini miaka 6 iliyopita alikuwa Simba!! kama Kakolanya alivyokuwa Simba!!
 
mzamiru yassin nk
 
Ligi yetu ni daraja la wachezaji wa nje kufanikiwa zaidi kuliko wachezaji wa ndani!! Shida ni nini?!

Wachezaji; Chama , Miqsoune, Morisson, Mayele na wengine wanafanikiwa hapa, na kwenda mbali zaidi kimpra huku wachezaji wa ndani wakipiga kwata tu.

Sasa hivi wachezaji wa kike wanaocheza nje ni idadi kubwa kuliko wa kiume kutoka hapa ndani.
 
Back
Top Bottom