Miaka 6 iliyopita wazawa waliofanikiwa kupenya kikosi cha Simba;
1. Manura
2. Kapombe
3. Zimbwe
4. Mzamiru
Hao ndio wachezaji pekee wamefanikiwa na nadhani ni kwa sababu walianza na ile Simba iliyokuwa inapanda.
Miaka sita sasa Simba kila mwaka inasajiri wachezaji wengi tu wazawa ila aliyefanikiwa kupenya ni Kibu pekee (na yeye sio mbongo, kapewa tu uraia), wengine wanasajiriwa mapambo!
Nadhani wachezaji wazawa umefika muda waiogope Simba.