Wazawa wa Afrika Kusini waanza tena kutembeza kichapo na kupora mali ya wageni weusi

Wazawa wa Afrika Kusini waanza tena kutembeza kichapo na kupora mali ya wageni weusi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
https://www.jamiiforums.com/data/video/1102/1102983-deaad27312b1f2a12bb952e90d26fa41.mp4

Yeyote anayejikomba komba kwa hawa watu wa South, afikirie sana.

Ndio yale yale tena, vijana wa kisasa Afrka Kusini wamezaliwa hawajui pumba za undugu wala nini, wengine hata Mandela hawakumuona, wao vyuma vimekaza kitaa, ukiwapa hadithi za alinacha kwamba mliwakomboa, utakua unatafuta kucharangwa mapanga.

Wameanza tena kutembeza kichapo na kupora mali ya wageni weusi, huku wakipishana na wazungu bila ugomvi. Serikali ya Afrika Kusini imeshindwa kubuni fursa za ajira hadi wanaachia mambo yanafika huku. Wakihojiwa wanaweka kanda za hotuba za Mandela wakitegemea zitawapoza vijana.

Dunia ya leo ni tofauti, raslimali zinapungua, fursa za ajira zimeadimika, vijana wamezaliwa hawajui Mandela, Lumumba, Nyerere wala nani, viongozi wa leo wamesahau kwamba adui wa sasa ni umaskini sio mkoloni wa enzi zile.
----------------------------------------


Over 40 people arrested in South Africa as xenophobic attacks, looting sprees spiral

Police in Johannesburg, South Africa have arrested at least 41 people following Monday’s unrest in what has been deemed as xenophobic attacks on foreigners.
A video shared online showed hundreds of people marching through the Central Business District looting and torching cars with the targeted shops reported to be owned by foreign nationals.
Police were forced to lob tear gas and fire rubber bullets in an attempt to restore calm.
According to BBC Africa, the country’s police minister, Bheki Cele termed the violence as a “criminality rather than xenophobia” for the “senseless violence”.
“Xenophobia is used as an excuse,” he told reporters after visiting the city’s Central Business District, where much of the unrest has been taking place. “Nothing… has sparked any form of conflict between the South Africans and foreign nationals.” Said Cele.
The Monday violence spread to Jeppestown,Denver, Malvern and Tembisa areas.

Nigerian Foreign Minister Geoffrey Onyeama has however lashed out at South African authorities for allegedly failing to protect Nigerian nationals in Johannesburg.
“Received sickening and depressing news of continued burning and looting of Nigerian shops and premises in #SouthAfrica by mindless criminals with ineffective police protection. Enough is enough. We will take definitive measures,” said Onyeama.

The latest unrest is reported to have began on Sunday when a building in Johannesburg’s Central Business District caught fire and collapsed, killing at least three people.

 
Nahisi hata Govt officials wa sauz wanahusika katika kuhamasisha hii mambo maana kauli kama hizi KAMA NI KWELI AMESEMA sio nzuri kabisa katika mstakabali wa umoja wa afrika
IMG-20190903-WA0052.jpeg
 
Mpaka leo marekani inajengwa na watu kutoka nje....alipaswa kujifunza kupitia hapo na si kauli za ovyo kama izi alizotoa
Nahisi hata Govt officials wa sauz wanahusika katika kuhamasisha hii mambo maana kauli kama hizi KAMA NI KWELI AMESEMA sio nzuri kabisa katika mstakabali wa umoja wa afrikaView attachment 1196529
 
its so sad that african killing his fellow african, while the whites people are left untouched though they are many and they were the ones who colonised us africans. its so unfair for south africans, its shame that we there is no more unit among black people in africa.
 
Kuna hii video inasambaa ya kuwa wamefikia hatua ya kuchoma moto watu
 
Hiyo nchi wakiachiwa watajikuta wamekuwa masikini milele. Afu ubaya wanapiga weusi wenzao
 
Umoja wa Afrika wawaekee vikwazo wa south africa wote popote walipo na border zifungwe na anga zisitumike mpaka washike adabu zao!
 
its so sad that african killing his fellow african, while the whites people are left untouched though they are many and they were the ones who colonised us africans. its so unfair for south africans, its shame that we there is no more unit among black people in africa.
Ubaguzi ni ubaguzi ukianza na hao weupe wakiisha utakuja na wakuja nao wakiisha utaanza kwa wenzako...

Huu wote ni umasikini tu.., binadamu mambo yakiwa magumu anatafuta wa kulaumu..., haya yalifanywa na Hitler na wayahudi na ndio wanayoyafanya hata viongozi kama trump na their nationalistic agendas ambazo they sound good to people ears...
 
Kuna kitu nyuma ya hii kadhia

Nina wasiwasi na Mkono wa Mtu mweupe

Maana,hawapendi amani ya Afrika
 
Kuna kitu nyuma ya hii kadhia

Nina wasiwasi na Mkono wa Mtu mweupe

Maana,hawapendi amani ya Afrika

Huu upumbavu mtaacha lini, kulaumu mweupe kwa kila ujinga wetu, hata kule uarabuni wao hulipuana wenyewe kwa mabomu kisha analaumiwa mweupe.
Watu mjiongeze na kujua adui ni sisi wenyewe baina yetu.
 
South Africa is a country that doesn't even have national anthem. Their national anthem was inspired by Zimbabwe.

Sio kweli, huo wimbo asili yake ni Afrika Kusini. Tanzania, Zimbabwe na Zambia ndio waliochukua kutoka huko. Baadae Zimbabwe wakaja kubadilisha wimbo wa Taifa.
 
Back
Top Bottom