Wazawa wa Afrika Kusini waanza tena kutembeza kichapo na kupora mali ya wageni weusi

Wazawa wa Afrika Kusini waanza tena kutembeza kichapo na kupora mali ya wageni weusi

Hao ni waasi wa ant baraka from Africa ya kati
Polisi wenyewe ndio wakatili kuliko maelezo, wakikukamata pasipo umma, utateswa hadi ujutie kuzaliwa...
Kuna video fulani niliwahi kuitazama, polisi wa AK wanamtesa Mnijeria kwa kumpiga hadi kwenye mapumbu.
Dunia hii hakuna aliye salama, raslimali zikipungua, hata ndugu huanza kuonana wabaya, kwanza kama wewe sio mtoto wa damu wa babako, kwamba labda mama aliolewa akiwa nawe tayari, ndugu zako wanaanza kukubagua na ukizubaa unachezea mapanga.

Binadamu ni mnyama, kila mmoja wetu ana hulka za kinyama, ni ile tu huwa tunajidhibiti. Ona picha hii ya wanajeshi sijui wa nchi gani, yaani badala ya kukamata mtu awe mfungwa, wanamumaliza kwa matofali.

4_centrafrique.jpg
 
Huu upumbavu mtaacha lini, kulaumu mweupe kwa kila ujinga wetu, hata kule uarabuni wao hulipuana wenyewe kwa mabomu kisha analaumiwa mweupe.
Watu mjiongeze na kujua adui ni sisi wenyewe baina yetu.
Uarabuni kule usiguse kule mweupe anahusika kindaki ndaki .
 
Kwanini mamlaka zisidhibiti hizo dawa za kulevya kama ni haramu?
Inategemea hao watu wa kutoka nje ni akina nani. Muuza dawa za kulevya kutoka Nigeria hawezi kukujengea nchi zaidi ya kuleta uharibifu.
 
Back
Top Bottom