Wazawa wa Afrika Kusini waanza tena kutembeza kichapo na kupora mali ya wageni weusi

Wazawa wa Afrika Kusini waanza tena kutembeza kichapo na kupora mali ya wageni weusi

Dunia ya leo ni tofauti, raslimali zinapungua, fursa za ajira zimeadimika, vijana wamezaliwa hawajui Mandela, Lumumba, Nyerere....

mbona hujamtaja mzee jomo kenyatta?. mayouth wa nairobi wanamfahamu?.
 
Polisi wenyewe ndio wakatili kuliko maelezo, wakikukamata pasipo umma, utateswa hadi ujutie kuzaliwa...
Kuna video fulani niliwahi kuitazama, polisi wa AK wanamtesa Mnijeria kwa kumpiga hadi kwenye mapumbu.
Dunia hii hakuna aliye salama, raslimali zikipungua, hata ndugu huanza kuonana wabaya, kwanza kama wewe sio mtoto wa damu wa babako, kwamba labda mama aliolewa akiwa nawe tayari, ndugu zako wanaanza kukubagua na ukizubaa unachezea mapanga.

Binadamu ni mnyama, kila mmoja wetu ana hulka za kinyama, ni ile tu huwa tunajidhibiti. Ona picha hii ya wanajeshi sijui wa nchi gani, yaani badala ya kukamata mtu awe mfungwa, wanamumaliza kwa matofali.

4_centrafrique.jpg
Mimi naona hiki kinachotokea huko AK kina mkono wa dola. Kuna nyingine pia polisi wa AK anampiga risasi mtu anayeonekana kuwarekodi.

Binadamu sisi kweli ni wanyama sana.
 
mbona hujamtaja mzee jomo kenyatta?. mayouth wa nairobi wanamfahamu?.

Wapo wengi sijawataja, na pia vijana wengi huku hawana muda na hayo ya Jomo Kenyatta, wanasoma kumhusu tu ili wapite mtihani wa shule, lakini kitaani ukiwahoji ni taswira tofauti.
Dunia hatuwezi kuendelea kupooza vijana kwa hotuba za waasisi wa haya mataifa, lazima tubadilike na wakati na nyakati.
 

Hawa jamaa miroho migumu kweli 😢
 
Haha Tanzania ni marafiki wa hao wa Nigeria huko Afrika Kusini hujui unachozungumza . Kuna clip ya mtanzania akielezea namna alivyopoteza mali aliyoshirikiana na Mnigeria kuwekeza
Wewe cha upuuzi wako mimi nipo south africa mji unaofanya fujo ni jose tena kwa wapopo tu sio wa Tanzania wala uganda
 
Mkivimbiwa ubwabwa ubongo huwa unawahama, hivyo kama sio Watanzania ni haki kwa hao wanaotiwa viberiti. Umejua kwa kigezo gani kwamba sio Mtanzania, hivi unajua na Watanzania huchezea mapanga kila wakati haya mazombi yanakurupuka, au unafikiria huwa wanakua na fursa ya kuskliza mambo ya mliwakomboa, yaani kwao kama huongei vilugha vyao unaitwa makwerekwere na kucharangwa au kutiwa kibeirti.
I live in one of the most beautiful city in the world

Johannesburg i have my businesses i don't know what you're talking about
 
I live in one of the most beautiful city in the world

Johannesburg i have my businesses i don't know what you're talking about

Toka kwa hao wazungu unaowabebea mabox nenda kitaa kwa weusi halafu uanze kuongea ongea lugha isiondena nao tuone kama utapata hata fursa ya kuandika upupu humu.
 
nyie mungiki na waafrika kusini wote vichwani mmejaa maji ya nazi
 
Toka kwa hao wazungu unaowabebea mabox nenda kitaa kwa weusi halafu uanze kuongea ongea lugha isiondena nao tuone kama utapata hata fursa ya kuandika upupu humu.
Come on South Africa is safe if you are sensible
 
Back
Top Bottom