Wazawa wa Afrika Kusini waanza tena kutembeza kichapo na kupora mali ya wageni weusi

Mpaka leo marekani inajengwa na watu kutoka nje....alipaswa kujifunza kupitia hapo na si kauli za ovyo kama izi alizotoa
Inategemea hao watu wa kutoka nje ni akina nani. Muuza dawa za kulevya kutoka Nigeria hawezi kukujengea nchi zaidi ya kuleta uharibifu.
 
https://www.jamiiforums.com/data/video/1102/1102983-deaad27312b1f2a12bb952e90d26fa41.mp4

Yeyote anayejikomba komba kwa hawa watu wa South, afikirie sana.

Ndio yale yale tena, vijana wa kisasa Afrka Kusini wamezaliwa hawajui pumba za undugu wala nini, wengine hata Mandela hawakumuona, wao vyuma vimekaza kitaa, ukiwapa hadithi za alinacha kwamba mliwakomboa, utakua unatafuta kucharangwa mapanga.

Wameanza tena kutembeza kichapo na kupora mali ya wageni weusi, huku wakipishana na wazungu bila ugomvi. Serikali ya Afrika Kusini imeshindwa kubuni fursa za ajira hadi wanaachia mambo yanafika huku. Wakihojiwa wanaweka kanda za hotuba za Mandela wakitegemea zitawapoza vijana.

Dunia ya leo ni tofauti, raslimali zinapungua, fursa za ajira zimeadimika, vijana wamezaliwa hawajui Mandela, Lumumba, Nyerere wala nani, viongozi wa leo wamesahau kwamba adui wa sasa ni umaskini sio mkoloni wa enzi zile.
----------------------------------------

Over 40 people arrested in South Africa as xenophobic attacks, looting sprees spiral

Police in Johannesburg, South Africa have arrested at least 41 people following Monday’s unrest in what has been deemed as xenophobic attacks on foreigners.
A video shared online showed hundreds of people marching through the Central Business District looting and torching cars with the targeted shops reported to be owned by foreign nationals.
Police were forced to lob tear gas and fire rubber bullets in an attempt to restore calm.
According to BBC Africa, the country’s police minister, Bheki Cele termed the violence as a “criminality rather than xenophobia” for the “senseless violence”.
“Xenophobia is used as an excuse,” he told reporters after visiting the city’s Central Business District, where much of the unrest has been taking place. “Nothing… has sparked any form of conflict between the South Africans and foreign nationals.” Said Cele.
The Monday violence spread to Jeppestown,Denver, Malvern and Tembisa areas.

Nigerian Foreign Minister Geoffrey Onyeama has however lashed out at South African authorities for allegedly failing to protect Nigerian nationals in Johannesburg.
“Received sickening and depressing news of continued burning and looting of Nigerian shops and premises in #SouthAfrica by mindless criminals with ineffective police protection. Enough is enough. We will take definitive measures,” said Onyeama.

The latest unrest is reported to have began on Sunday when a building in Johannesburg’s Central Business District caught fire and collapsed, killing at least three people.

Not Tanzania people
 
Tatizo kubwa LA watu weusi wa Afrika Kusini ni Ukosefu wa elimu, Fikra mgando za tangu enzi za ubaguzi wa rangi, ukosefu wa mgawanyo sawa wa Rasilimali za nchi miongoni mwao wao KWA wao, Wanasiasa weusi kushindwa kabisa kuiongoza nchi/utawala mbovu,
Hata kama waafrika wengine wote wataondoka nchini Afrika Kusini bado janga LA umaskini na ukosefu wa ajira miongoni mwA watu weusi liteandelea, KWA sababu UCHUMI karibia 90% unamilikiwa na watu weupe ambao idadi yao haifiki watu millioni nne.

Fikra za waafrika Kusini wengi, watu weusi ni kwamba KWA kuwa wamepata Uhuru 1994 basi sasa wao kazi yao ni kula, kunywa, kustarehe na kulala tu, basi. Kumbe wamesahau kwamba ili uwe na maisha bora ni lazima akili yako ifanye kazi vizuri ktk kufikiria na uchakalike hasa kutafuta pesa, siyo lelemama.
 
Unataka sema south africa wamejaa wauza unga toka nigeria.....mbona marekani drug dealers wapo tena madon ya mexico kabisaaa
Inategemea hao watu wa kutoka nje ni akina nani. Muuza dawa za kulevya kutoka Nigeria hawezi kukujengea nchi zaidi ya kuleta uharibifu.
 
Unataka sema south africa wamejaa wauza unga toka nigeria.....mbona marekani drug dealers wapo tena madon ya mexico kabisaaa

Wageni wengi Afrika Kusini wanafanya vitu haramu kama kuuza unga, wizi na ukahaba.
 
Huu upumbavu mtaacha lini, kulaumu mweupe kwa kila ujinga wetu, hata kule uarabuni wao hulipuana wenyewe kwa mabomu kisha analaumiwa mweupe.
Watu mjiongeze na kujua adui ni sisi wenyewe baina yetu.
Waarabu sio weupe?

Japo nakubaliana na wewe kuhusu ngozi nyeusi kuwa na upumbavu wa kupenda kulaumu ngozi nyeupe.
 
abla.png
 
Not Tanzania people

Mkivimbiwa ubwabwa ubongo huwa unawahama, hivyo kama sio Watanzania ni haki kwa hao wanaotiwa viberiti. Umejua kwa kigezo gani kwamba sio Mtanzania, hivi unajua na Watanzania huchezea mapanga kila wakati haya mazombi yanakurupuka, au unafikiria huwa wanakua na fursa ya kuskliza mambo ya mliwakomboa, yaani kwao kama huongei vilugha vyao unaitwa makwerekwere na kucharangwa au kutiwa kibeirti.
 
Not Tanzania people
Haha Tanzania ni marafiki wa hao wa Nigeria huko Afrika Kusini hujui unachozungumza . Kuna clip ya mtanzania akielezea namna alivyopoteza mali aliyoshirikiana na Mnigeria kuwekeza
 
https://www.jamiiforums.com/data/video/1102/1102983-deaad27312b1f2a12bb952e90d26fa41.mp4

Yeyote anayejikomba komba kwa hawa watu wa South, afikirie sana.

Ndio yale yale tena, vijana wa kisasa Afrka Kusini wamezaliwa hawajui pumba za undugu wala nini, wengine hata Mandela hawakumuona, wao vyuma vimekaza kitaa, ukiwapa hadithi za alinacha kwamba mliwakomboa, utakua unatafuta kucharangwa mapanga.

Wameanza tena kutembeza kichapo na kupora mali ya wageni weusi, huku wakipishana na wazungu bila ugomvi. Serikali ya Afrika Kusini imeshindwa kubuni fursa za ajira hadi wanaachia mambo yanafika huku. Wakihojiwa wanaweka kanda za hotuba za Mandela wakitegemea zitawapoza vijana.

Dunia ya leo ni tofauti, raslimali zinapungua, fursa za ajira zimeadimika, vijana wamezaliwa hawajui Mandela, Lumumba, Nyerere wala nani, viongozi wa leo wamesahau kwamba adui wa sasa ni umaskini sio mkoloni wa enzi zile.
----------------------------------------

Over 40 people arrested in South Africa as xenophobic attacks, looting sprees spiral

Police in Johannesburg, South Africa have arrested at least 41 people following Monday’s unrest in what has been deemed as xenophobic attacks on foreigners.
A video shared online showed hundreds of people marching through the Central Business District looting and torching cars with the targeted shops reported to be owned by foreign nationals.
Police were forced to lob tear gas and fire rubber bullets in an attempt to restore calm.
According to BBC Africa, the country’s police minister, Bheki Cele termed the violence as a “criminality rather than xenophobia” for the “senseless violence”.
“Xenophobia is used as an excuse,” he told reporters after visiting the city’s Central Business District, where much of the unrest has been taking place. “Nothing… has sparked any form of conflict between the South Africans and foreign nationals.” Said Cele.
The Monday violence spread to Jeppestown,Denver, Malvern and Tembisa areas.

Nigerian Foreign Minister Geoffrey Onyeama has however lashed out at South African authorities for allegedly failing to protect Nigerian nationals in Johannesburg.
“Received sickening and depressing news of continued burning and looting of Nigerian shops and premises in #SouthAfrica by mindless criminals with ineffective police protection. Enough is enough. We will take definitive measures,” said Onyeama.

The latest unrest is reported to have began on Sunday when a building in Johannesburg’s Central Business District caught fire and collapsed, killing at least three people.

Boko haram wajibu mapigo.
 
Kuna picha nimeona mtu anawaka moto,maafisa wa polisi wanacheka.

Polisi wenyewe ndio wakatili kuliko maelezo, wakikukamata pasipo umma, utateswa hadi ujutie kuzaliwa...
Kuna video fulani niliwahi kuitazama, polisi wa AK wanamtesa Mnijeria kwa kumpiga hadi kwenye mapumbu.
Dunia hii hakuna aliye salama, raslimali zikipungua, hata ndugu huanza kuonana wabaya, kwanza kama wewe sio mtoto wa damu wa babako, kwamba labda mama aliolewa akiwa nawe tayari, ndugu zako wanaanza kukubagua na ukizubaa unachezea mapanga.

Binadamu ni mnyama, kila mmoja wetu ana hulka za kinyama, ni ile tu huwa tunajidhibiti. Ona picha hii ya wanajeshi sijui wa nchi gani, yaani badala ya kukamata mtu awe mfungwa, wanamumaliza kwa matofali.

4_centrafrique.jpg
 
Back
Top Bottom