Wazawa wa Afrika Kusini waanza tena kutembeza kichapo na kupora mali ya wageni weusi

Dunia ya leo ni tofauti, raslimali zinapungua, fursa za ajira zimeadimika, vijana wamezaliwa hawajui Mandela, Lumumba, Nyerere....

mbona hujamtaja mzee jomo kenyatta?. mayouth wa nairobi wanamfahamu?.
 
Mimi naona hiki kinachotokea huko AK kina mkono wa dola. Kuna nyingine pia polisi wa AK anampiga risasi mtu anayeonekana kuwarekodi.

Binadamu sisi kweli ni wanyama sana.
 
mbona hujamtaja mzee jomo kenyatta?. mayouth wa nairobi wanamfahamu?.

Wapo wengi sijawataja, na pia vijana wengi huku hawana muda na hayo ya Jomo Kenyatta, wanasoma kumhusu tu ili wapite mtihani wa shule, lakini kitaani ukiwahoji ni taswira tofauti.
Dunia hatuwezi kuendelea kupooza vijana kwa hotuba za waasisi wa haya mataifa, lazima tubadilike na wakati na nyakati.
 
Your browser is not able to display this video.

Hawa jamaa miroho migumu kweli 😢
 
Haha Tanzania ni marafiki wa hao wa Nigeria huko Afrika Kusini hujui unachozungumza . Kuna clip ya mtanzania akielezea namna alivyopoteza mali aliyoshirikiana na Mnigeria kuwekeza
Wewe cha upuuzi wako mimi nipo south africa mji unaofanya fujo ni jose tena kwa wapopo tu sio wa Tanzania wala uganda
 
I live in one of the most beautiful city in the world

Johannesburg i have my businesses i don't know what you're talking about
 
I live in one of the most beautiful city in the world

Johannesburg i have my businesses i don't know what you're talking about

Toka kwa hao wazungu unaowabebea mabox nenda kitaa kwa weusi halafu uanze kuongea ongea lugha isiondena nao tuone kama utapata hata fursa ya kuandika upupu humu.
 
Ndio uzuri wa ubalozi wetu popote, huwa wapo makini sana kufuatilia taarifa za Wakenya wanaoishi huko.

Balozi nyingine huwa zinafanya hivyo pia.

nyie mungiki na waafrika kusini wote vichwani mmejaa maji ya nazi
 
Toka kwa hao wazungu unaowabebea mabox nenda kitaa kwa weusi halafu uanze kuongea ongea lugha isiondena nao tuone kama utapata hata fursa ya kuandika upupu humu.
Come on South Africa is safe if you are sensible
 
Hivi unaelewa maana ya neno 'sensible' au unatumia tu ilimradi, hivyo wanaotiwa viberiti sio 'sensible'.
Done or chosen in accordance with wisdom or prudence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…