Ulitakaje kwa mfano! Kabla ya hao wachezaji wa kigeni, timu ya Taifa ilikuwa na mafanikio gani? Mimi nawashauri wachezaji wazawa wakaze msuli. Vilabu navyo vinahitaki mafanikio ya ndani na nje!
Wachezaji wazawa wanatakiwa wapambane watoke kama wenzao akina Samatta, Msuvu, Miroshi, nk.