Wazayoni(Zionist) ni akina nani na Wana malengo gani?

Wazayoni(Zionist) ni akina nani na Wana malengo gani?

Kuna ukweli wowote kuhusu wazayuni na conspiracy ya NWO?
Kutoka Maktaba :-

The idea that a specific group controls the world is often linked to conspiracy theories suggesting that a secretive elite governs global affairs. However, in reality, power is distributed among various nations, governments, and organizations, with no single entity in control.
 
kama wewe ulivyo wewe.
Muhammad aliuza watumwa Weusi wawili kwa mtumwa mmoja mzungu lakini unawasujudu hadi leo.
Libya watu weusi hadi sasa wanawekwe kwenye cage kama bonobo ila ilo sio shida kwenu..shida ni myahudi kujilinda assuage na magaidi menzenu.
Kuna migogoro ya siasa inachanganywa na Dini.
 
Kutoka Maktaba :-

Theodor Herzl was an Austro-Hungarian Jewish journalist and the founder of modern political Zionism, advocating for the establishment of a Jewish homeland. He is best known for his pamphlet "Der Judenstaat" and for organizing the First Zionist Congress in 1897.
Safi umemjibu vizuri
 
Kutoka Maktaba :-

The idea that a specific group controls the world is often linked to conspiracy theories suggesting that a secretive elite governs global affairs. However, in reality, power is distributed among various nations, governments, and organizations, with no single entity in control.
Haya Mambo yanahitaji upanuzi wa kifikra sana.
 
Kutoka Maktaba :-

Theodor Herzl was an Austro-Hungarian Jewish journalist and the founder of modern political Zionism, advocating for the establishment of a Jewish homeland. He is best known for his pamphlet "Der Judenstaat" and for organizing the First Zionist Congress in 1897.
Ipo siku Israel takuja kusema Dunia yote ni yao
 
Kutoka Maktaba :-

Theodor Herzl was an Austro-Hungarian Jewish journalist and the founder of modern political Zionism, advocating for the establishment of a Jewish homeland. He is best known for his pamphlet "Der Judenstaat" and for organizing the First Zionist Congress in 1897.

Safi umemjibu vizuri
Mkuu naomba kumfaham zaidi huyu Jeffrey Epstein
 
unajua hata unachouliza?.
ushasema" biblia haitambui kuwa hiyo Ardhi ni ya waisrael" then unasema Biblia inasema mpaka Irag ni eneo la Israel.

Sasa ni Biblia ipi inasema Israel haina eneo na Biblia ipi inasema mpaka irag ni la Israel?.
umeanza uongo wako kama ule wa kusema; torati si kitabu cha Mussa kwasababu katika torati mussa anaandika hadi kifo chake kitu ambacho hakiwesekani na unajisahaulisha(kwa maksudi) Biblia inaeleza kwa usahihi jambo ilo.
Ni typing error namaanisha Abraham aliahidiwa eneo mpaka Iraq, Syria, misri je kwanini madai ya Israel ya sasa ni Palestine? Kama issue ni promised land why wasiidai hadi Iraq?
 
Ishmael hakuahidiwa ardhi na Ibrahim baba yao. Yeye aliondoshwa ila alipewa baraka tu kuwa atakuwa taifa kubwa na atachukiwa na wengi..

Canaan nchi ya ahadi ni uzao wa Izaka tu (Yakobo na makabila 12)
Wala simuongelei Ishmael, naongelea watoto 5 aliozaa na mke wa ndoa kabisa anaitwa Keturah.

Nchi ya ahadi kwa yakobo kivipi wakati alipewa Abraham? Kasome Mwanzo 12
 
Kutoka Maktaba :-

The idea that a specific group controls the world is often linked to conspiracy theories suggesting that a secretive elite governs global affairs. However, in reality, power is distributed among various nations, governments, and organizations, with no single entity in control.
Just because there's no proof of conspiracy it doesn't necessarily mean that it is not there, I'd prefer to give it 50/50 probable chances.
 
Kama issue ni promised land why wasiidai hadi Iraq?
unataka whataboutism..sawa. Ikiwa madai ni Palestine Land, ni kwanini Wapalestina hawaivamii Jordan wakatiJordan nayo ilikuwa sehemu ya Palestine mandate chini ya Uingereza?.
kwanini Wapalestina wanadili n israel tu wakati jordami iko hapo hawana shida nayo?.
nikisema mnaongozwa na kitabu chenu kukuz chuki dhidi ya Wayahudi nitakuwa nimekosea?
 
Jaribu kuwa specific.typing error iko kwenye Biblia haesemi israel ina ardhi ama ipo kwenye Biblia inasema ardhi ya Israeli inafika Iraq?.
Ahadi ya biblia kwenye mwanzo 12 ni kwa Abraham na inajumuisha mpka Iraq, Syria, eneo la saudia, misri.

Sasa nakuuliza swali je kwanni Israel inakomalia Palestine na sio Iraq ambayo ina space kubwa zaidi? Is it logical?

Ndio maana nimekataa unavyodai eti logic ikitumika basi Israel wapo sahihi!
 
kwanini Wapalestina wanadili n israel tu wakati jordami iko hapo hawana shida nayo?.
Mbon walijaribu kuipindua ila wakafeli kwenye Black September au historia haujui? Wangefanikiwa ina maana leo palestinians wote wangekua huko!!
nikisema mnaongozwa na kitabu chenu kukuz chuki dhidi ya Wayahudi nitakuwa nimekosea?
Kwani wapi kwenye kitabu cha dini palestina wameambiwa ni kwao? Nani kasema dini ndio itumike kugawa maeneo?

Kumbuka hata Jehovah witness wanaamini mali zote za dunia ni wao watamiliki ikifiia kiama, je tunapaswa tuwapatie hatimiliki ya mali zote kisa biblia yao inasema hivi?

Kuchanganya dini na logic haiwezekani. So kama umeamua kulalia angle ya dini basi baki huko ila usiseme logic alafu arguments zote unazitoa kwenye vitabu vya dini
 
Mbon walijaribu kuipindua ila wakafeli kwenye Black September au historia haujui? Wangefanikiwa ina maana leo palestinians wote wangekua huko!!
Kwani wapi kwenye kitabu cha dini palestina wameambiwa ni kwao? Nani kasema dini ndio itumike kugawa maeneo?

Kumbuka hata Jehovah witness wanaamini mali zote za dunia ni wao watamiliki ikifiia kiama, je tunapaswa tuwapatie hatimiliki ya mali zote kisa biblia yao inasema hivi?

Kuchanganya dini na logic haiwezekani. So kama umeamua kulalia angle ya dini basi baki huko ila usiseme logic alafu arguments zote unazitoa kwenye vitabu vya dini
Black September haikuwa ku-claim ardhi ya Palestine bali ilikuwa kisask kwa Mfalme Hussein baada ya Wapalestina kutaka kuigeuza Jordan kuwa base yao ya vita dhidi ya Israeli na sio Dhidi Jordan.
Wapalestina hawakutaka Ardhi ya Jordan,walichalenji Mamlaka ya King hussein ndiyo ikaibuka black September.
yaani kusema Wapalestina walikaribishwa na Jordan ili wakomboe ardhi yao ikiwemo Jordan ni sawa na kusema Mandela alikaribishea ulbelgiji na kupewa hifadhi ili afanye harakati zake za ukombozi Africa kusini.

2; Jehovah witness wanaamini waovu(mwisho wa dunia) wakiondolewa duniani watailithi hii Dunia.. sio sasa. sijawai ona Jehovah witness wakkng'ang'ania kuchukua nyumba ama shamba la mtu. hence,swali lako litakuwa na maana endepo ukiliuliza wakati wa ulimwengu ujao na sio sasa.

3; natumia dini maana chuki yenu dhidi ya wakristo na wayahudi imejengwa katika dini yenu nje na hapo hamna madai ya msingi.
 
Nimejaribu kufatilia matukio ya Dunia, vita,migogoro ya kiuchumi, na mizozo ya mipaka baina ya mataifa, lakini Zionist ni miongoni mwa neno ambalo nimelisikia sana likihusishwa na migogoro yote inayoendelea Duniani hivi Sasa.

Nimedig kidogo kwenye baadhi ya vyanzo, nikafaham kwamba chanzo Cha Zionist ni Jews, hawa watu wakuitwa watu wa MUNGU, sijaelewa hizi idea zao zinasababishaje migogoro, maana nimesikia hawa ni waanzilishi wa project ya new world order.

Naomba kufahamu zaidi kwa anewaelewa hawa watu, Mambo ni mengi, Dunia Ina Siri nzito sana.
Nenda kwa jamaa anaitea Ali zaeteri, Instagram na thread huzungumzia hayo kila siku
Kifupi jamaa wanamiliki pesa za dunia(mabenki) na wanatumia kutawala dunia na kuinyonya, ndiyo maana Hitler alitaka fumua mfumo,mkamgeuza adui
 

Attachments

  • IMG_20250805_131939_737.jpg
    IMG_20250805_131939_737.jpg
    83.4 KB · Views: 15
Black September haikuwa ku-claim ardhi ya Palestine bali ilikuwa kisask kwa Mfalme Hussein
Ulichouliza ni kwamba palestina haijawahi kuwa na shida na Jordan ndio nimekupa facts sasa haya maelezo yote ya nini na ulishasema hawajawahi kuwa na shida na Jordan!!
2; Jehovah witness wanaamini waovu(mwisho wa dunia) wakiondolewa duniani watailithi hii Dunia.. sio sasa. sijawai ona Jehovah witness wakkng'ang'ania kuchukua nyumba ama shamba la mtu. hence,swali lako litakuwa na maana endepo ukiliuliza wakati wa ulimwengu ujao na sio sasa
Nimetoa mfano wa assumptions za dini, ila zipo dini kibao tu mfano Shia wanaamini Ayatollah ndio predecessor wa Masihi wao atakayekuja kuhukumu dunia. Mbona hata waislam wenyewe tu hawakubaliani na hilo (Sunni ambao ndio majority Muslims duniani), ndio sembuse imani ya wayahudi isikilizwe ila ya Shia isisikilizwe? Logic iko wapi?
3; natumia dini maana chuki yenu dhidi ya wakristo na wayahudi imejengwa katika dini yenu nje na hapo hamna madai ya msingi
Kama unatumia dini basi achana na so called logic maana havichangamani. Sio unajitapa hapa eti logic wakati hakuna logic hapa zaidi ya kusimamia dini tu!!

Back to dini maana umeshakubali kuaachana na facts and logic.
1. Nchi ya ahadi alipewa Abraham (Israel, Lebanon, misri, Saudi, Syria, Iraq, Jordan etc) je kwanini Israel/Yakobo ndio wanajiona wamiliki pekee ilihali Abraham alikua na warithi kibao tu?

2. Pia kama Israel inaitaka nchi ya ahadi kwanini hawaendi kuidai Iraq na Syria zenye eneo kubwa zaidi na kusingekua na mgogoro maana ardhi ni kubwa mnoo ingeweza accommodate!! Why walazimishe Palestine kwa kigezo cha nchi ya ahadi?

NB: Na hapa usilete habari za wapalestina maana wao hakuna popote kwenye Bible wamehaidiwa "Nchi ya ahadi" so hawana obligation ya kudai sehemu nje na walipokulia yaani Palestine.
 
Back
Top Bottom