Wazayoni(Zionist) ni akina nani na Wana malengo gani?

Wazayoni(Zionist) ni akina nani na Wana malengo gani?

Ahadi ya biblia kwenye mwanzo 12 ni kwa Abraham na inajumuisha mpka Iraq, Syria, eneo la saudia, misri.

Sasa nakuuliza swali je kwanni Israel inakomalia Palestine na sio Iraq ambayo ina space kubwa zaidi? Is it logical?

Ndio maana nimekataa unavyodai eti logic ikitumika basi Israel wapo sahihi!
Kwenye ili dhana ya Greater Israel ndipo hizo nchi zingine zitatwaliwa.
 
Wala simuongelei Ishmael, naongelea watoto 5 aliozaa na mke wa ndoa kabisa anaitwa Keturah.

Nchi ya ahadi kwa yakobo kivipi wakati alipewa Abraham? Kasome Mwanzo 12
Nchi ya ahadi alipewa Abraham na Abraham aka pass on kwa Izaka na Izaak aka pass on kwa Yakobo na Yakobo ndipo watoto wake 12 wanawakilisha makbila 12 ya wana wa Israel. Israel ndiyo jina jingine kwa Yakobo.

Hao watoto wa Ketura hawana uhusiano na taifa la Israel
 
Kuelewa nguvu ya Wanazayoni (Zionists) na migogoro yao, inabidi utazame picha kubwa inayounganisha historia, pesa, na siasa za kimataifa. Hii hapa ni story fupi inayoelezea chimbuko lao, siri ya nguvu yao, na migogoro inayowazunguka.

1. Mwanzo: Kutoka "Watu Wasio na Nchi" hadi Taifa
Story inaanza mwishoni mwa miaka ya 1800 wayahudi walikuwa wametapakaa duniani kote (Diaspora) na walikuwa wakiteswa sana, hasa Ulaya. Theodor Herzl, mwandishi wa habari, aliamua kuwa suluhu pekee ni Wayahudi kuwa na nchi yao wenyewe.

Mwaka 1917, kupitia tamko la Balfour Declaration, Uingereza (ambayo ilikuwa mkoloni wa Palestina wakati huo) iliahidi kusaidia kuanzishwa kwa "maskani ya kitaifa" ya Wayahudi.

Baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia na mauaji ya Holocaust, huruma ya dunia iliongezeka, na mwaka 1948, Taifa la Israel likatangazwa rasmi.

2. Siri ya Nguvu (The Power Grid)
Wazayuni hawana nguvu kwa sababu ya idadi ya watu (Wayahudi ni wachache sana duniani), bali kwa sababu ya Mifumo (Systems):
Ushawishi wa Marekani (AIPAC): Hii ni lobby group kubwa zaidi nchini Marekani. Inahakikisha kuwa mgombea yeyote wa Urais au Bunge nchini Marekani lazima aiunge mkono Israel ili apate kura na ufadhili. Hii ndiyo sababu Marekani hutoa mabilioni ya dola kila mwaka kwa Israel kama msaada wa kijeshi.

Teknolojia na Intelijensia: Israel ina mfumo wa kijasusi wa Mossad ambao unajulikana kwa kufanya operesheni za siri duniani kote. Pia, kampuni nyingi za ulinzi wa mtandaoni (cybersecurity) na silaha za kisasa zinatoka kwao.

Uchumi wa Dunia: Kupitia historia ya muda mrefu katika mifumo ya kibenki (kama familia ya Rothschild) na biashara za kimataifa, Wazayuni wana sauti kubwa katika maamuzi ya kiuchumi duniani.

3. Migogoro: Agenda na Mapambano
Nguvu ya Uzayuni imekuja na migogoro mizito ambayo haijawahi kuisha kwa miongo saba sasa.

Mgogoro wa Palestina: Huu ndio msingi. Wazayuni wanaamini ardhi ya Palestina ni "Ardhi ya Ahadi" waliyopewa na Mungu. Wapalestina wanaona ni uvamizi wa kikoloni.

Hii imesababisha vita vya mwaka 1948, 1967 (Six-Day War), na migogoro ya sasa huko Gaza na West Bank.

Kupanua Makazi (Settlements): Moja ya migogoro mikubwa ni tabia ya Israel kuendelea kujenga nyumba za Wayahudi kwenye ardhi inayotambuliwa na Umoja wa Mataifa kuwa ni ya Wapalestina. Hii inatazamwa kama mbinu ya kuifuta Palestina taratibu.

Vita dhidi ya Iran: Israel inaona Iran (ambayo inapinga Uzayuni) kama tishio la kuwepo kwake. Hii inasababisha "vita vya kivuli" (proxy wars) kote Mashariki ya Kati, ikiwemo mashambulizi dhidi ya vikundi kama Hezbollah na Hamas.

4. Agenda Yao ya Sasa ni Ipi?
Kwa kifupi, agenda ya Uzayuni wa kisasa (Neo-Zionism) ni.

Usalama Kabisa (Total Security): Kuhakikisha hakuna nchi yoyote ya Kiarabu inayoweza kuwashinda kijeshi.

Kutambulika (Normalization).
Kufanya nchi za Kiarabu (kama UAE, Saudi Arabia) ziikubali Israel kama nchi halali ili kutenganisha suala la Palestina na maslahi ya kiuchumi.

Kudhibiti Simulizi (Control of Narrative): Kutumia ushawishi wao kwenye vyombo vya habari na mitandao kuhakikisha kuwa yeyote anayeipinga Israel anaonekana kama "mbaguzi" (Antisemitic).
🙏🙏
 
Ulichouliza ni kwamba palestina haijawahi kuwa na shida na Jordan ndio nimekupa facts sasa haya maelezo yote ya nini na ulishasema hawajawahi kuwa na shida na Jordan!!

Nimetoa mfano wa assumptions za dini, ila zipo dini kibao tu mfano Shia wanaamini Ayatollah ndio predecessor wa Masihi wao atakayekuja kuhukumu dunia. Mbona hata waislam wenyewe tu hawakubaliani na hilo (Sunni ambao ndio majority Muslims duniani), ndio sembuse imani ya wayahudi isikilizwe ila ya Shia isisikilizwe? Logic iko wapi?

Kama unatumia dini basi achana na so called logic maana havichangamani. Sio unajitapa hapa eti logic wakati hakuna logic hapa zaidi ya kusimamia dini tu!!

Back to dini maana umeshakubali kuaachana na facts and logic.
1. Nchi ya ahadi alipewa Abraham (Israel, Lebanon, misri, Saudi, Syria, Iraq, Jordan etc) je kwanini Israel/Yakobo ndio wanajiona wamiliki pekee ilihali Abraham alikua na warithi kibao tu?

2. Pia kama Israel inaitaka nchi ya ahadi kwanini hawaendi kuidai Iraq na Syria zenye eneo kubwa zaidi na kusingekua na mgogoro maana ardhi ni kubwa mnoo ingeweza accommodate!! Why walazimishe Palestine kwa kigezo cha nchi ya ahadi?

NB: Na hapa usilete habari za wapalestina maana wao hakuna popote kwenye Bible wamehaidiwa "Nchi ya ahadi" so hawana obligation ya kudai sehemu nje na walipokulia yaani Palestine.
Omo, Mimi nilisema"ukiongozwa na fact na logic utakuwa mzayuni".

sijasema ukiongozwa na Dini utakuwa mzayuni.
Madai ya Dini umeyaleta wewe, na sio mimi.

Fact na logic si dini kwa tafsiri yoyote ile.

wewe ndiyo umekuja na madai ya dini uku mkonon ukiwa na hoja ama madai mawili yakiwa yamejengwa katika Biblia mbili tofauti.

moja; biblia haisemi kuwa israel ina ardhi"

mbili; biblia inasema Iraq ni sehemu ya Israeli pia.

baadaE ukabadili Gia Angani.

Mimi hoja/madai yangu haikuwa dini bali fact na logic.
Sasa ulivyo kigeuge,umenigeuzia kibao mimi na kufanya nionekane mimi ndiyo nimeleta madai ya dini wakati ni wewe.
uongo unaruhusiwa katika uislam hivyo sikushangai.
 
moja; biblia haisemi kuwa israel ina ardhi"

mbili; biblia inasema Iraq ni sehemu ya Israeli pia.

baadaE ukabadili Gia Angani.
What's this nonsense nimekueleza ardhi ya ahadi "promised land" maana kipindi anapewa Abraham hata Israel haikuwepo so it was a clear typing error. Hiyo promised land ya Abraham ndio inaenda hadi Syria, Iraq etc

So usijitoe ufahamu, jibu swali la msingi je ni kwanini hawaivamii Iraq kudai ardhi ya ahadi if at all wanaidai palestina kwa kigezo cha dini yao yaani uyahudi?
 
Ndio utashangaa mfadhili wa vikundi vya kigaidi kama Ayatollah eti naye tumlilie kweli?

Dini hizi ni ujinga mtupu.
Ugaidi ni nini?
UAE inafadhili waasi wa RSF Sudan. Je tuseme UAE nayo ni mfadhili wa magaidi si ndio.

Sasa kwanini USA hamvamii UAE kwa kufadhili ugaidi?
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Mimi hoja/madai yangu haikuwa dini bali fact na logic.
Hapana ulitumia dini na nimeku quote hapo. Hakuna namna unaweza tumia logic na kuona Israel wapo sahihi.

Ndio maana wewe utetezi wako wote ume base kwenye biblia sio pengine. Ungekua unatumia logic ungekuja na hoja za kihistoria, geopolitics etc ila kwakuwa unajua huko hamna hoja yenye mashiko ukakimbilia kwenye dini.

Sasa ulivyo kigeuge,umenigeuzia kibao mimi na kufanya nionekane mimi ndiyo nimeleta madai ya dini wakati ni wewe.
uongo unaruhusiwa katika uislam hivyo sikushangai.
Hiyo quote si ni wewe mwenyewe au nimekulisha maneno? Kingine mimi sio muislam ila napinga uonevu wanaofanya Israel. Hata PLO lumumba, Lissu, Ramaphosa n.k ni wakristo ila wanapinga uhuni wa Israel!!
 
Ugaidi ni nini?
UAE inafadhili waasi wa RSF Sudan. Je tuseme UAE nayo ni mfadhili wa magaidi si ndio.

Sasa kwanini USA hamvamii UAE kwa kufadhili ugaidi?
Kwahiyo hapa unamtetea Ayatollah kwa kufadhili magaidi.

Nimekuelewa, uwe na siku njema.
 
Kwahiyo hapa unamtetea Ayatollah kwa kufadhili magaidi.

Nimekuelewa, uwe na siku njema.
My point is kama definition ya ugaidi ni kusupport vikundi vya waasi basi nchi zote ni magaidi maana hata Israel inasupport waasi wa Syria, Uturuki n.k yaani PKK/SDF ila hatuoni wakiitwa magaidi!!
 
Back
Top Bottom