AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Kutoka Maktaba :-Kuna ukweli wowote kuhusu wazayuni na conspiracy ya NWO?
Kuna migogoro ya siasa inachanganywa na Dini.kama wewe ulivyo wewe.
Muhammad aliuza watumwa Weusi wawili kwa mtumwa mmoja mzungu lakini unawasujudu hadi leo.
Libya watu weusi hadi sasa wanawekwe kwenye cage kama bonobo ila ilo sio shida kwenu..shida ni myahudi kujilinda assuage na magaidi menzenu.
Safi umemjibu vizuriKutoka Maktaba :-
Theodor Herzl was an Austro-Hungarian Jewish journalist and the founder of modern political Zionism, advocating for the establishment of a Jewish homeland. He is best known for his pamphlet "Der Judenstaat" and for organizing the First Zionist Congress in 1897.
Haya Mambo yanahitaji upanuzi wa kifikra sana.Kutoka Maktaba :-
The idea that a specific group controls the world is often linked to conspiracy theories suggesting that a secretive elite governs global affairs. However, in reality, power is distributed among various nations, governments, and organizations, with no single entity in control.
Ipo siku Israel takuja kusema Dunia yote ni yaoKutoka Maktaba :-
Theodor Herzl was an Austro-Hungarian Jewish journalist and the founder of modern political Zionism, advocating for the establishment of a Jewish homeland. He is best known for his pamphlet "Der Judenstaat" and for organizing the First Zionist Congress in 1897.
Kutoka Maktaba :-
Theodor Herzl was an Austro-Hungarian Jewish journalist and the founder of modern political Zionism, advocating for the establishment of a Jewish homeland. He is best known for his pamphlet "Der Judenstaat" and for organizing the First Zionist Congress in 1897.
Mkuu naomba kumfaham zaidi huyu Jeffrey EpsteinSafi umemjibu vizuri
TaggedMkuu naomba kumfaham zaidi huyu Jeffrey Epstein
Ni typing error namaanisha Abraham aliahidiwa eneo mpaka Iraq, Syria, misri je kwanini madai ya Israel ya sasa ni Palestine? Kama issue ni promised land why wasiidai hadi Iraq?unajua hata unachouliza?.
ushasema" biblia haitambui kuwa hiyo Ardhi ni ya waisrael" then unasema Biblia inasema mpaka Irag ni eneo la Israel.
Sasa ni Biblia ipi inasema Israel haina eneo na Biblia ipi inasema mpaka irag ni la Israel?.
umeanza uongo wako kama ule wa kusema; torati si kitabu cha Mussa kwasababu katika torati mussa anaandika hadi kifo chake kitu ambacho hakiwesekani na unajisahaulisha(kwa maksudi) Biblia inaeleza kwa usahihi jambo ilo.
Wala simuongelei Ishmael, naongelea watoto 5 aliozaa na mke wa ndoa kabisa anaitwa Keturah.Ishmael hakuahidiwa ardhi na Ibrahim baba yao. Yeye aliondoshwa ila alipewa baraka tu kuwa atakuwa taifa kubwa na atachukiwa na wengi..
Canaan nchi ya ahadi ni uzao wa Izaka tu (Yakobo na makabila 12)
Taqqiya ni nini? Nijifanye mkristo kwani namuogopa nani na natumia ID feki? Yaani nachoshindwa kuhoji ni kipi mpaka nijifanye mkristo?Taqqiya..Allah anakulipa kwa Taqqiya.
Just because there's no proof of conspiracy it doesn't necessarily mean that it is not there, I'd prefer to give it 50/50 probable chances.Kutoka Maktaba :-
The idea that a specific group controls the world is often linked to conspiracy theories suggesting that a secretive elite governs global affairs. However, in reality, power is distributed among various nations, governments, and organizations, with no single entity in control.
Jaribu kuwa specific.typing error iko kwenye Biblia haesemi israel ina ardhi ama ipo kwenye Biblia inasema ardhi ya Israeli inafika Iraq?.Ni typing error
unataka whataboutism..sawa. Ikiwa madai ni Palestine Land, ni kwanini Wapalestina hawaivamii Jordan wakatiJordan nayo ilikuwa sehemu ya Palestine mandate chini ya Uingereza?.Kama issue ni promised land why wasiidai hadi Iraq?
Ahadi ya biblia kwenye mwanzo 12 ni kwa Abraham na inajumuisha mpka Iraq, Syria, eneo la saudia, misri.Jaribu kuwa specific.typing error iko kwenye Biblia haesemi israel ina ardhi ama ipo kwenye Biblia inasema ardhi ya Israeli inafika Iraq?.
Mbon walijaribu kuipindua ila wakafeli kwenye Black September au historia haujui? Wangefanikiwa ina maana leo palestinians wote wangekua huko!!kwanini Wapalestina wanadili n israel tu wakati jordami iko hapo hawana shida nayo?.
Kwani wapi kwenye kitabu cha dini palestina wameambiwa ni kwao? Nani kasema dini ndio itumike kugawa maeneo?nikisema mnaongozwa na kitabu chenu kukuz chuki dhidi ya Wayahudi nitakuwa nimekosea?
Black September haikuwa ku-claim ardhi ya Palestine bali ilikuwa kisask kwa Mfalme Hussein baada ya Wapalestina kutaka kuigeuza Jordan kuwa base yao ya vita dhidi ya Israeli na sio Dhidi Jordan.Mbon walijaribu kuipindua ila wakafeli kwenye Black September au historia haujui? Wangefanikiwa ina maana leo palestinians wote wangekua huko!!
Kwani wapi kwenye kitabu cha dini palestina wameambiwa ni kwao? Nani kasema dini ndio itumike kugawa maeneo?
Kumbuka hata Jehovah witness wanaamini mali zote za dunia ni wao watamiliki ikifiia kiama, je tunapaswa tuwapatie hatimiliki ya mali zote kisa biblia yao inasema hivi?
Kuchanganya dini na logic haiwezekani. So kama umeamua kulalia angle ya dini basi baki huko ila usiseme logic alafu arguments zote unazitoa kwenye vitabu vya dini
Nenda kwa jamaa anaitea Ali zaeteri, Instagram na thread huzungumzia hayo kila sikuNimejaribu kufatilia matukio ya Dunia, vita,migogoro ya kiuchumi, na mizozo ya mipaka baina ya mataifa, lakini Zionist ni miongoni mwa neno ambalo nimelisikia sana likihusishwa na migogoro yote inayoendelea Duniani hivi Sasa.
Nimedig kidogo kwenye baadhi ya vyanzo, nikafaham kwamba chanzo Cha Zionist ni Jews, hawa watu wakuitwa watu wa MUNGU, sijaelewa hizi idea zao zinasababishaje migogoro, maana nimesikia hawa ni waanzilishi wa project ya new world order.
Naomba kufahamu zaidi kwa anewaelewa hawa watu, Mambo ni mengi, Dunia Ina Siri nzito sana.
Ulichouliza ni kwamba palestina haijawahi kuwa na shida na Jordan ndio nimekupa facts sasa haya maelezo yote ya nini na ulishasema hawajawahi kuwa na shida na Jordan!!Black September haikuwa ku-claim ardhi ya Palestine bali ilikuwa kisask kwa Mfalme Hussein
Nimetoa mfano wa assumptions za dini, ila zipo dini kibao tu mfano Shia wanaamini Ayatollah ndio predecessor wa Masihi wao atakayekuja kuhukumu dunia. Mbona hata waislam wenyewe tu hawakubaliani na hilo (Sunni ambao ndio majority Muslims duniani), ndio sembuse imani ya wayahudi isikilizwe ila ya Shia isisikilizwe? Logic iko wapi?2; Jehovah witness wanaamini waovu(mwisho wa dunia) wakiondolewa duniani watailithi hii Dunia.. sio sasa. sijawai ona Jehovah witness wakkng'ang'ania kuchukua nyumba ama shamba la mtu. hence,swali lako litakuwa na maana endepo ukiliuliza wakati wa ulimwengu ujao na sio sasa
Kama unatumia dini basi achana na so called logic maana havichangamani. Sio unajitapa hapa eti logic wakati hakuna logic hapa zaidi ya kusimamia dini tu!!3; natumia dini maana chuki yenu dhidi ya wakristo na wayahudi imejengwa katika dini yenu nje na hapo hamna madai ya msingi