Wazayoni(Zionist) ni akina nani na Wana malengo gani?

Kwenye ili dhana ya Greater Israel ndipo hizo nchi zingine zitatwaliwa.
 
Wala simuongelei Ishmael, naongelea watoto 5 aliozaa na mke wa ndoa kabisa anaitwa Keturah.

Nchi ya ahadi kwa yakobo kivipi wakati alipewa Abraham? Kasome Mwanzo 12
Nchi ya ahadi alipewa Abraham na Abraham aka pass on kwa Izaka na Izaak aka pass on kwa Yakobo na Yakobo ndipo watoto wake 12 wanawakilisha makbila 12 ya wana wa Israel. Israel ndiyo jina jingine kwa Yakobo.

Hao watoto wa Ketura hawana uhusiano na taifa la Israel
 
🙏🙏
 
Omo, Mimi nilisema"ukiongozwa na fact na logic utakuwa mzayuni".

sijasema ukiongozwa na Dini utakuwa mzayuni.
Madai ya Dini umeyaleta wewe, na sio mimi.

Fact na logic si dini kwa tafsiri yoyote ile.

wewe ndiyo umekuja na madai ya dini uku mkonon ukiwa na hoja ama madai mawili yakiwa yamejengwa katika Biblia mbili tofauti.

moja; biblia haisemi kuwa israel ina ardhi"

mbili; biblia inasema Iraq ni sehemu ya Israeli pia.

baadaE ukabadili Gia Angani.

Mimi hoja/madai yangu haikuwa dini bali fact na logic.
Sasa ulivyo kigeuge,umenigeuzia kibao mimi na kufanya nionekane mimi ndiyo nimeleta madai ya dini wakati ni wewe.
uongo unaruhusiwa katika uislam hivyo sikushangai.
 
moja; biblia haisemi kuwa israel ina ardhi"

mbili; biblia inasema Iraq ni sehemu ya Israeli pia.

baadaE ukabadili Gia Angani.
What's this nonsense nimekueleza ardhi ya ahadi "promised land" maana kipindi anapewa Abraham hata Israel haikuwepo so it was a clear typing error. Hiyo promised land ya Abraham ndio inaenda hadi Syria, Iraq etc

So usijitoe ufahamu, jibu swali la msingi je ni kwanini hawaivamii Iraq kudai ardhi ya ahadi if at all wanaidai palestina kwa kigezo cha dini yao yaani uyahudi?
 
Ndio utashangaa mfadhili wa vikundi vya kigaidi kama Ayatollah eti naye tumlilie kweli?

Dini hizi ni ujinga mtupu.
Ugaidi ni nini?
UAE inafadhili waasi wa RSF Sudan. Je tuseme UAE nayo ni mfadhili wa magaidi si ndio.

Sasa kwanini USA hamvamii UAE kwa kufadhili ugaidi?
 
Reactions: Lax
Mimi hoja/madai yangu haikuwa dini bali fact na logic.
Hapana ulitumia dini na nimeku quote hapo. Hakuna namna unaweza tumia logic na kuona Israel wapo sahihi.

Ndio maana wewe utetezi wako wote ume base kwenye biblia sio pengine. Ungekua unatumia logic ungekuja na hoja za kihistoria, geopolitics etc ila kwakuwa unajua huko hamna hoja yenye mashiko ukakimbilia kwenye dini.

Sasa ulivyo kigeuge,umenigeuzia kibao mimi na kufanya nionekane mimi ndiyo nimeleta madai ya dini wakati ni wewe.
uongo unaruhusiwa katika uislam hivyo sikushangai.
Hiyo quote si ni wewe mwenyewe au nimekulisha maneno? Kingine mimi sio muislam ila napinga uonevu wanaofanya Israel. Hata PLO lumumba, Lissu, Ramaphosa n.k ni wakristo ila wanapinga uhuni wa Israel!!
 
Ugaidi ni nini?
UAE inafadhili waasi wa RSF Sudan. Je tuseme UAE nayo ni mfadhili wa magaidi si ndio.

Sasa kwanini USA hamvamii UAE kwa kufadhili ugaidi?
Kwahiyo hapa unamtetea Ayatollah kwa kufadhili magaidi.

Nimekuelewa, uwe na siku njema.
 
Kwahiyo hapa unamtetea Ayatollah kwa kufadhili magaidi.

Nimekuelewa, uwe na siku njema.
My point is kama definition ya ugaidi ni kusupport vikundi vya waasi basi nchi zote ni magaidi maana hata Israel inasupport waasi wa Syria, Uturuki n.k yaani PKK/SDF ila hatuoni wakiitwa magaidi!!
 
NWO = Zionist + Vatican + British Empire
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…