Wazazi 35 kutoka Tunduru wamekatwa baada ya kukutwa wakiwafundisha watoto chini ya miaka 8 mbinu za kufanya tendo la ngono

Watu wa mnaotokea huko na mpo JF tupeni uzoefu na ushahidi wenu,huo ni utamaduni wenu? Nanyi mlifundishwa hayo mambo ktk umri huo?
Kiukwel hayo mambo yalkuwap tanvu mda

Na umri alioutaja hapo n mkubwa mno
Weng hufanyiwa pind wanaanza kutoka maziwa/matiti

Mfano mm dada zangu walifanyiwa wakiwa na umri wa miaka kama kumi na mbili hv au tatu, na walkuwa hawakatazwi
 
Wazazi wa hao watoto miaka kadhaa ijayo watakuja kusema ooh ona vitengo vyote serikalini vinaongozwa na Wachaga/wahaya etc wkt wenzao wanapeleka shule watoto wao wenyewe walikua bize kufundisha watoto wao namna ya kutoa-mbwaa.
Yale yanafanyika ni ndan ya mwez tu tena haizuii hata mwanafunz kwenda shule ila tu huyo kiongoz ndio haeshim destur na tamaduni za jamii husika

Hyo ipo ad kwa wamwera (Lindi) ila kwa sasa wamebadili mda wana fanya kipnd cha likizo
 
Tena wanyonge kupindukia.
Watu Hawa ni wapole na wakarimu by nature. Wakidhulumiwa, umkabidhi Allah atende aonavyo.
 
Kiukwel hayo mambo yalkuwap tanvu mda

Na umri alioutaja hapo n mkubwa mno
Weng hufanyiwa pind wanaanza kutoka maziwa/matiti

Mfano mm dada zangu walifanyiwa wakiwa na umri wa miaka kama kumi na mbili hv au tatu, na walkuwa hawakatazwi
Duuh hatari sana,hii mila pambaneni nayo siyo nzuri kabisa mkuu
 
Anakijuwa kinachofanyika, hata kwao yapo.
Informal education +formal =Educated Person otherwise Beberu au mjinga.
 
Sio kweli, wanafundishwa yanayoendana na umri wao
Tumedhalilishwa Wangapi hapo? Mambo mengine yanahitaji hekima na umakini. Mwisho litaisha kama lile la wakukeketwa. Jaman Tunduru na kukeketa wapi na wapi! Mwisho wa hili ni kuwachangisha pesa kama lile la kukeketa.
Tufanye uchunguzi kabla ya kuliendea jambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…