Wazazi acheni uhuni na visingizio, toeni urithi kwa watoto. Elimu sio urithi!

Mm wanangu wamerithi madushe ya inchi 7 zinawatosha.
Mali ni zangu na mke wangu wakaze mattyakko kutafuta zao.
 
Wazazi wengi wa KiAfrica wanafeli pakubwa Sana Kwenye Hili suala la urithi.
Ingekuwa poa sana Kama wengi wangeusoma huu Uzi bila Shaka wangejifunza kitu.
 
Mimi leo i agree with you...

Wahindi wanatupiga sana bao kwenye hili...

Mtoto wako unam coach, ajue njia ulizotumia kutafuta huku ukimpa resources za kufanya hivyo...

Sema basi tu, wazazi wengine wako selfish..

Mtoto wako akikwama kisa hukumpatia urithi sio sifa,

Wazazi tafuteni means kama Mafisadi yanavyofanya, mpaka wajukuu wana uhakika wa maisha mazuri
 
Mtoa post ana kitu cha msingi.asipuuzwe
 

Wewe kunielewa itakuchukua miaka elfu moja.
Kwa sababu Ulimwengu wangu upo galaxy tofauti na yako
 
Taikon wa fasihi
🫑🫑🫑🫑🫑
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…