Mwadilifu Mdhulumiwa
JF-Expert Member
- Jul 22, 2021
- 419
- 640
Kwa mtazamo wako unaweza kuwa upo sawa kulingana na hoja zako! Lakini kwa upande mwingine mtazamo wako sio sahihi, Maana tusemavyo samaki mkunje angali mbichi ndo hivoivo hata watoto ukiwaandaa kifikra kuja kuitumia Elimu kama urithi wa maisha yao na sio mali ulizo nazo kweli ukawasomesha, watatoboa tu kwa elimu yao na hata kama una mali kama majengo au mashamba unawezakuta wasiwe hata na tym navyo kwakua wameshapata maisha yao mjini!
Lakini ukiamuandaa mtoto kuja kuwa mtu wa kuktegemea mali zako hata ukimuelimisha bado atabakia na mawazo hayohayo ya kutaka arithi mali zako ndipo aridhike na hapa uwezekano wa kuziendeleza hizo mali zaidi ya kuziuza huwa mdogo wengi wanaishia kufirisika tu sababu hajuwi msingi wa namna mali hizo zilivyopatikana!
Aidha kwa dunia ya sasa ambayo mali ni very scarce resources ukilinganisha na growing population ya dunia nzima mtazamo wako unaenda kinyume kabisa na nature!