Wazazi acheni uhuni na visingizio, toeni urithi kwa watoto. Elimu sio urithi!

Wazazi acheni uhuni na visingizio, toeni urithi kwa watoto. Elimu sio urithi!

Kwa mtazamo wako unaweza kuwa upo sawa kulingana na hoja zako! Lakini kwa upande mwingine mtazamo wako sio sahihi, Maana tusemavyo samaki mkunje angali mbichi ndo hivoivo hata watoto ukiwaandaa kifikra kuja kuitumia Elimu kama urithi wa maisha yao na sio mali ulizo nazo kweli ukawasomesha, watatoboa tu kwa elimu yao na hata kama una mali kama majengo au mashamba unawezakuta wasiwe hata na tym navyo kwakua wameshapata maisha yao mjini!
Lakini ukiamuandaa mtoto kuja kuwa mtu wa kuktegemea mali zako hata ukimuelimisha bado atabakia na mawazo hayohayo ya kutaka arithi mali zako ndipo aridhike na hapa uwezekano wa kuziendeleza hizo mali zaidi ya kuziuza huwa mdogo wengi wanaishia kufirisika tu sababu hajuwi msingi wa namna mali hizo zilivyopatikana!
Aidha kwa dunia ya sasa ambayo mali ni very scarce resources ukilinganisha na growing population ya dunia nzima mtazamo wako unaenda kinyume kabisa na nature!
 
Huu ndio mwanzo wa kuua mzazi kwa kutaka urithi.

Tafuta chako.

Mimi nimekuta mzazi kajiongeza kutoka walipoishia wazazi wake, na mimi nikajiongeza kutoka alipoishia yeye.

Sijafikiria ujinga wa urithi.

Mali ya mzazi ni ya mzazi.

Hata akiamua kuigawa kwenye charity ni sawa tu, kwa sababu ni mali yake.

Mimi nami nina yangu na nitaamua niifanyie nini ninavyotaka mwenyewe.

Hizi habari za kukodolea macho urithi ni aina fulani ya umasikini wa akili.

Ndivyo shuleni mlivyodanganywa?
 
Ila tukubaliane kuwa urithi sio takwa la kikatiba kwa mzazi kumpa mtoto.
 
Jambo sahihi ni kumpa uhuru mzazi kukurithisisha mali muda anaouona yeye unafaa kufanya hivyo..

Litoto shule limekataa, kutwa kulewa na uhuni mwingineo halafu umrithishe mali unategemea nin? Kumbuka mali hukuzipata kwa siku moja lakin unaweza zipoteza kwa siku moja..

Binafsi sikurithishwa mali ila nimepata basic need zote kutoka kwa wazaz mpaka kujitegemea..
Ndio hivo hivo kwa wanangu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂
 
Hujajibu hoja. Unataka kumlazimisha mzazi akupe urithi?

Mzazi akigoma kufa aishi mpaka miaka 100 ukawahi kufa wewe utaishi kwa urithi wa nani?

Acheni ujinga wakutaka kuishi kwa mali za wengine, tafuteni zenu.

Mzazi hata agome Kufa Ila anaowajibu wa kuacha urithi Kwa Watoto wake.
Maisha ya Kisasa yanaipunguza Ile hadhi ya mzazi
 
Mzazi hata agome Kufa Ila anaowajibu wa kuacha urithi Kwa Watoto wake.
Maisha ya Kisasa yanaipunguza Ile hadhi ya mzazi
Wajibu maana yake ni nini?

Wajibu wa urithi upo katika sheria gani? Upo katika msingi gani?

Mzazi akisema mali zake zote anawapa masikini, lakini harithishi mtoto wake, utamfanya nini?
 
Baba yako alijiandaa mpaka akaanza familia, nawe mtoto ujiandae kama baba yako alivyofanya. Usitegemee urithi, elimu aliyokupa inatosha kujiandaa kama baba alivyofanya. Kitu cha kurithi hakina thamani kama ulichotafuta mwenyewe.
 
Kwa baadhi ya familia hasa yangu hili lisiketokea litaleta mapasuko, Nyumba 3 watoto tuko 6, Kama kila mtu alipewa elimu anapambana na Maisha yake huko,
 
Nyinyi munaokomalia urithi wa wazazi ndiyo munaoua wazazi wenu kwa tamaa.

Hivi ulimsaidia mzazi kutafuta hizo mali? Tafuta za kwako kwa nguvu zote

Kama huwezi kutafuta urithi Kwa Watoto Acha kuzaa.
Vinginevyo huna tofauti na Mbuzi, kondoo, ngedere, Paka, Na wanyama wa mwituni Huko.

Mzazi yeyote mwenye Akili na utu na maanisha binadamu lazima afikirie akiondoka atamuachia nini mtoto wake kama urithi.
Lakini wazazi wenye Akili za wanyama wao wanachojua ni kuzaa tuu.

Ndio maana kuna sheria za mirathi, ndio maana kuna mipaka ya nchi, ndio maana ukizaa lazima Watoto warithi baadhi ya traits zako.

Kasome;

Mit 13:22​

Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi; Na mali ya mkosaji huwa akiba kwa mwenye haki.
 
Baba yako alijiandaa mpaka akaanza familia, nawe mtoto ujiandae kama baba yako alivyofanya. Usitegemee urithi, elimu aliyokupa inatosha kujiandaa kama baba alivyofanya. Kitu cha kurithi hakina thamani kama ulichotafuta mwenyewe.

Elimu haijawahi kuwa urithi.
Ni sawa na wanajeshi wapewe mafunzo alafu wasipewd silaha.
Sijui Watu wanafikiri Kwa Kutumia nini.

Hii nchi ya Tanzania ni urithi tilioachiwa na Wazee wetu. Ni Mali.

Wapi Watu hamuelewi.
 
Wajibu maana yake ni nini?

Wajibu wa urithi upo katika sheria gani? Upo katika msingi gani?

Mzazi akisema mali zake zote anawapa masikini, lakini harithishi mtoto wake, utamfanya nini?

Sitamfanya kitu lakini atakuwa mzazi mpumbavu tuu
 
Sitamfanya kitu lakini atakuwa mzazi mpumbavu tuu
Wewe ndiye utakuwa mtoto mpumbavu kwa kutegemea cha mtu.

To paraphrase Kennedy, ask not what your parents can do for you, ask what you can do for your children.

Ulishamsikiliza Billie Holiday katika wimbo wake "God Bless The Child"?

Ulielewa maana ya wimbo huo?

Billie Holidsy - God Bless the Child

Lyrics

Mama may have, papa may have
But God bless the child that's got his own

Them that's got shall get
Them that's not shall lose
So the bible said and it still is news

Mama may have, papa may have (mama may have, papa may have)
But God bless the child that's got his own, that's got his own (ooh-ooh)

Yes, the strong get smart
While the weak ones fade
Empty pockets don't ever make the grade (ooh)

Mama may have, papa may have (ooh, ooh)
But God bless the child that's got his own, that's got his own (ooh, ooh)

Money, you've got lots of friends
They're crowding around the door
When you're gone and spending ends
They don't come no more
Rich relations give crusts of bread and such
You can help yourself, but don't take too much

Mama may have, papa may have (mama may have, papa may have)
But God bless the child that's got his own, that's got his own
God bless the child, the child that's got his own

Source: Musixmatch
 
Kama huwezi kutafuta urithi Kwa Watoto Acha kuzaa.
Vinginevyo huna tofauti na Mbuzi, kondoo, ngedere, Paka, Na wanyama wa mwituni Huko.
Ipo tafauti baina yangu na mbuzi na kondoo na wanyama wa mwituni.

Nimekuzaa, nimekulea na kukuvisha, nimekusomesha na kukusaidia kwenye elimu, bado tu unalinganisha na mnyama?

Halafu unaondoka kwenda kuanzisha mji wako mimi nimefikia uzee hutaki hata kuniulizia.

I say......... wacha tu pambaneni wenyewe musisubiri urithi.
 
Kwani wanyama hawazai, hawawalishi Watoto wao na kuwalea?

Unafikiri Kwa uelewa wako Kwa nini Watu wanapigania Bandari na rasilimali za taifa?
 
Back
Top Bottom