DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kama umezaliwa umekuta wazazi wako wapo well financially, huwezi kulalamika kukosa ajira zetu hizi za laki Saba kwa mwezi.
Mzazi/wazazi usifanye Mambo ya kuzaa tu ebu fikiria huyo unayemzaa umemuandaaje kuja kuishi vvizui.
Binafsi mambo ya umasikini tunasema tumerogwa lakini Hakuna uchawi, kilichopo wazazi walifanya makosa ilibidi wakuandalie miondombinu ya wewe kutumia.
Mfano eti mtu unatoka chuo unaanza Biashara na mtaji wa 100k hivi utatoboa lini.
Wazazi wa kibongo mjitatakari Sana hakikisha mtoto unamuandalia Mali za kutosha akitoka chuo Kama hamna Ajira mpatie mtaji unaoeleweka akapambane mpe hata mil 20 kwa kuanzia.
Nasema hivi kwa sababu nimeona graduate wengi wanabeba zege Kazi ngumu hivi hii ni kweli!!?
Unatoka chuo unajua nyumbani kila kitu kipo Basi unakuwa na peace of mind .
Unajua wapi utaanzia binafsi wazazi wetu waliamua kuzaa tu ili future yatu ibaki Katika nature.
Fallacy