Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
kuna jamaa anaitwa Chaula wa Mbeya ameajiri watoto wake katika biashara zake.Wekexza kwenye biashara na watoto wasome kwa ajili ya business za familia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna jamaa anaitwa Chaula wa Mbeya ameajiri watoto wake katika biashara zake.Wekexza kwenye biashara na watoto wasome kwa ajili ya business za familia
Unakuta mzazi enzi hizo alitamani kuwa daktari akashindwa sasa anaforce kwa namna yoyote mwanae awe dakari 😂pia wazazi tuache kuforce ndoto zetu kwenye maisha ya watoto wetu,can you imagine mzazi anaforce mtoto awe daktari au muhasibu wakati mtoto ni bogus kwenye kada izo?
Wewe Mkuu unataka kuoa sasa umeanzia mbaliii mpaka kufika kuwasingizia watoto. Loh 🤣🤣🤣🤣🤣Ila na watoto wetu eengi wana mentality a kuajiriwa mfano mm ni mfugaji nina dairy na fartening enterprise na ni mkulima.aa mitiki na pine trees watoto hawataki kabisa mambo ya farming hafi nawaza sijui nioe tena
Sasa mm namfsnyia nani hii kazi why wanapenda hela za maziwa na kuuza mifugo ila kz hawapendi pengine nikioa mfugaji mwenzagu nikiondoka hapa dunia i nitapata wakue delezaWewe Mkuu unataka kuoa sasa umeanzia mbaliii mpaka kufika kuwasingizia watoto. Loh 🤣🤣🤣🤣🤣
Inawezekana unawapush sana mpaka wanaona hicho kilimo ni adhabu. Jaribu strategy ingine.
N/B. Kuhusu kuoa Mama yao anasemaje kwani? 🤣
Limit hiyo hela.Sasa mm namfsnyia nani hii kazi why wanapenda hela za maziwa na kuuza mifugo ila kz hawapendi pengine nikioa mfugaji mwenzagu nikiondoka hapa dunia i nitapata wakue deleza
Kaa hapa kwetu inaoatikana wapiElimu nzuri ni muhimu kwa ajili ya kupanua reasoning,communication skills and independent decision making .
Za kawaida tu hela concept hapa ni why watoto wetu hawapendi hizi kz za farm business?Limit hiyo hela.
Wana umri ganii kwani?
Namaanisha wabanie hela then anza nao from the start. Maandalizi ya Shamba mpaka zao linaingia sokoni. Kuwa na plan na records za kila step. Ili mpaka unafika kuwapa hela wanaona inatoka wapi na Ina uzito ganii kuingia mkononi. No pain no gain.Za kawaida tu hela concept hapa ni why watoto wetu hawapendi hizi kz za farm business?
Also in terms of accounting, record keeping and breaking the norm.Elimu nzuri ni muhimu kwa ajili ya kupanua reasoning,communication skills and independent decision making .
Dawa ni moja tu ..mpe mwanao elimu ya kujitegemea..tuwashirikishe watoto wetu tukiwa na biashara ....tuachane na habari za kuajiriwa..waajiri !Ikiwa mzazi ambaye anamuwazia mazuri mtoto akimaliza elimu yake ya juu kwa atatumia mahela kibao kugharamia elimu ya mtoto ila by the end!
1. Mtoto anatakiwa akanunuliwe mashine ya popcorn aiweke stand aanze kuuza bisi!
2.Anunue mashine ya kukamulia juisi ya miwa na glass!
3. Aanze kuuza uji kwa kutembeza machupa vijiweni huko.
4.Aanze kubeba zege na usaidia fundi.
5.Aanze kuuza pweza na uduvi maeneo ya stendi!
6.Anunuliwe jiko la mkaa la size ya kuchomea mahindi ya kuchoma aanze kuuza mahindi!
7.Awe mpiga debe stand za vidala dala aunge unge mia mia!
Hapa jukwaani kuna wazazi wengi bila shaka wenye watoto wadogo say 1-8 years! Mnalipa ada kubwa tu watoto wakiwa junior schools 2-3 million per annum! Je, hiki ndio hasa ambacho mtapenda watoto wenu wafanye wakimaliza elimu zao za juu! Hebu lets be frank guys! Lawama zimekuwa nyingi mno kwa hawa graduates kana kwamba nyie hamna watoto wadogo humo majumbani ambao watakuta the situation is even worst. Hamna ambaye hataki mwanae ale pazuri!
Huku ndiko hasa focus yangu ilipo sasa mkuu! Nafikiri ni njia zuri ya kutengeneza wealth ambayo pia itakuwa re-generative kwa vizazi na vizaziMkuu umeongea ukweli kabisa, mimi mwanangu wa kwanza ana miaka 6, ndiyo yuko la kwanza ila nikiwaza karo ninayomlipia shule ukweli ninalipa aje kuwa mtu flani siyo aje tena kutembeza mandazi.
Jambo ninalowaza Mungu anijalie nikuze kampuni wanangu waje kuwa waendesha kampuni kama wafanyavyo wahindi. Kwamba mtoto anasoma anarudi kuendeleza biasara ya familia.
Tofauti na hapo unaweza kuchoma pesa tu.
Kwani wewe una msomesha ili iweje?Yani mkuu umsomeshe mtoto miaka zaidi ya 15 minimum ulipe milion 3 kwa mwaka halafu amalize aje aanze kuuza mandazi mtaji wa 50,000 kutoboa ni majaliwa.
Mkuu ikitokea imetokea kama hakuna option, ila kiuhalisia mimi kama mzazi ninayemsosha mtoto siyi target yangu.
Kama anataka uza mandazi walio nimpe mtaji wa kuwa na bakery ya kisasa aweze kufanya biashara kisasa.
Siyo aje kuanza na mtaji wa 50,000. Mkuu hiyo siyo target yangu kabisa. Ikitokea maisha yamechange maana sina guarantee haina jinsi atadeal nayo hivyo hivyo lakini haikuwa target yangu hiyo.Kwani wewe una msomesha ili iweje?
Wenzako wanasomesha mtoto sana apate Exposure, Networking na Confidence pia,
Mtoto akisha kuwa na hivyo anatoboa,
Swala anaanzisha aina ipi ya Biashara huwezi mpangia, huwezi mpangia hobby zake,