Wazazi hebu leteni maoni yenu hapa

pia wazazi tuache kuforce ndoto zetu kwenye maisha ya watoto wetu,can you imagine mzazi anaforce mtoto awe daktari au muhasibu wakati mtoto ni bogus kwenye kada izo?
Unakuta mzazi enzi hizo alitamani kuwa daktari akashindwa sasa anaforce kwa namna yoyote mwanae awe dakari 😂
 
Pamoja na kwamba tuna invest sana kwa watoto wetu kwa kulipa karo na mengine inabidi tuwaombee sana wakue salama na wewe responsible, financially independent and upright people.

Pili tunatakiwa tuwape exposure ambayo itawafungua akili zao wasiwe watumwa wa system ya elimu mfano tunaweza kuwawekea hobbies ambazo baadae zinaweka kuwa side hustles. Mfano ufugaji wa sungura, kuku, gardening etc

Jambo lingine watoto wetu tusiwalee solely waje watulee na sisi. Hapana. Tuwalee wajisimamie Ili hata tukiondoka sisi duniani Wana akili na uwezo wa ku survive bila sisi. Let us strive to build generational wealth by nurturing our kids towards entrepreneurship.
 
Ila na watoto wetu eengi wana mentality a kuajiriwa mfano mm ni mfugaji nina dairy na fartening enterprise na ni mkulima.aa mitiki na pine trees watoto hawataki kabisa mambo ya farming hafi nawaza sijui nioe tena
Wewe Mkuu unataka kuoa sasa umeanzia mbaliii mpaka kufika kuwasingizia watoto. Loh 🤣🤣🤣🤣🤣

Inawezekana unawapush sana mpaka wanaona hicho kilimo ni adhabu. Jaribu strategy ingine.

N/B. Kuhusu kuoa Mama yao anasemaje kwani? 🤣
 
Sasa mm namfsnyia nani hii kazi why wanapenda hela za maziwa na kuuza mifugo ila kz hawapendi pengine nikioa mfugaji mwenzagu nikiondoka hapa dunia i nitapata wakue deleza
 
Sasa mm namfsnyia nani hii kazi why wanapenda hela za maziwa na kuuza mifugo ila kz hawapendi pengine nikioa mfugaji mwenzagu nikiondoka hapa dunia i nitapata wakue deleza
Limit hiyo hela.

Wana umri ganii kwani?
 
Za kawaida tu hela concept hapa ni why watoto wetu hawapendi hizi kz za farm business?
Namaanisha wabanie hela then anza nao from the start. Maandalizi ya Shamba mpaka zao linaingia sokoni. Kuwa na plan na records za kila step. Ili mpaka unafika kuwapa hela wanaona inatoka wapi na Ina uzito ganii kuingia mkononi. No pain no gain.
 
Dawa ni moja tu ..mpe mwanao elimu ya kujitegemea..tuwashirikishe watoto wetu tukiwa na biashara ....tuachane na habari za kuajiriwa..waajiri !
 
wengi hapa tutambwela-mbwela.....
kwanza kabisa watoto ni zawadi from Sir God,,, tushukuru......ni jukumu la mzazi kuhakikisha wanawe wanafanikiwa kimaisha........
kama mzazi ni vema wanao wajue shughuli unayofanya....hili ni muhimu sana.....sometime hata kama ni wadogo vipi....ongea nao uwafahamu vema.....elimu ni lazima ili apate uelewa...dunia iko kasi sana.....akiamua kuwa muuza maandazi,,juice....je ni kwa level gani???....msaidie some skills the way anaweza fanya hiyo biashara....tuache waishi ktk ndoto zao...just to support them....
 
Huku ndiko hasa focus yangu ilipo sasa mkuu! Nafikiri ni njia zuri ya kutengeneza wealth ambayo pia itakuwa re-generative kwa vizazi na vizazi
 
Kwani wewe una msomesha ili iweje?

Wenzako wanasomesha mtoto sana apate Exposure, Networking na Confidence pia,

Mtoto akisha kuwa na hivyo anatoboa,

Swala anaanzisha aina ipi ya Biashara huwezi mpangia, huwezi mpangia hobby zake,
 
Kwani wewe una msomesha ili iweje?

Wenzako wanasomesha mtoto sana apate Exposure, Networking na Confidence pia,

Mtoto akisha kuwa na hivyo anatoboa,

Swala anaanzisha aina ipi ya Biashara huwezi mpangia, huwezi mpangia hobby zake,
Siyo aje kuanza na mtaji wa 50,000. Mkuu hiyo siyo target yangu kabisa. Ikitokea maisha yamechange maana sina guarantee haina jinsi atadeal nayo hivyo hivyo lakini haikuwa target yangu hiyo.
 
Elimu wanayoipata wengi wanafurahia vyeti vyenye A+ ila kiuhalisia kiutendaji hata wakipata nafasi za kuajiriwa wao ni kuwaza pesa mwisho wa mwezi ukifika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…