Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Twende Direct kwenye hoja/Topic.
Naomba kutumia majina ya kutunga ila hoja zote ni uhalisia wa matukio ninayoyaona huku duniani nikakoishi...
IKO HIVI ......
1. SCENARIO 01
Tumeite John.
John ni rafiki yangu kutoka mkoa wa Kusini.
John anajitolea kwenye Halmashauri yetu kama Muhasibu ila pia ana degree.
Baada ya kuwa na urafiki na John niliweza kumuhoji mengi ...
1. Yeye ni first born kwa familia yenye watoto wa3.
2. Baba ake ni mfanyabiashara mkubwa sanaa huko mkoa wa kusini, huagiza mpaka mzigo wa mil 70 kwenye lorry kutoka K.koo
3. Baba ake John ana miliki mashamba ya korosho ambayo kwa mwaka hulipwa zaidi ya mil 100 na Amcos akishauza korosho zake.
Kifupi baba ake John ANAJIWEZA.
SASA CHAKUSHANGAZA .....
1. John aliletwa huku mkoa wetu na mtoto wa mjomba ake baada kuona nyumbani hali sio.
2. Baada ya kumuhoji anasema "Baba ake aligoma kumshirikisha kwenye mali zake, lakini pia John aliomba asomeshwe CPA(T) ila bia baba aligoma.
John kuona maisha sio, aliamua kuja kwa binamu yake, na binamu yake akapigana mpaka John akapata nafasi ya kujitolea kwenye hii Halmashauri.
CHA KUSHANGAZA ZAIDI ....
1. John akifulia humlilia mama ake amtumie hela na mama ake hutuma.
Kuna siku tupo wote location na kesho yake ni safari ya kwenda Dom semina ambapo hukohuko tunakokwenda ndio tunalipwa (kwahiyo kufika Dom ni pesa zako binafsi).
John alikuwa hana kitu.
Alimpigia simu mama ake na mama alituma 300k chap..!!!
2. SCENARIO 02.
Tumuite Jofu.
Jofu, ni kijana anajitolea kwenye masijala Halmashauri yetu.
Ila mama ake Jofu ni mwanamke mwenye cheo cha haja kwenye hii serikali.
Jofu amejitolea kwa muda wa miezi 6 sasa.
Huwa anapata sanaa tabu kwasababu halipwi, huwa anaishi kwa madokezo.
Baada ile makutano ya vijana kijiweni nikamzoa Jofu.
Nikawa namuhoji juu ya uhalisia wa nyumbani kwao.
MAAJABU ....
1. Mama ake Jofu ni mwanamke kibopa kwenye moja ya ofisi serikalini.
2. Ana miliki eka 200 ambazo kila mwaka analima mahindi na kupata magunia kibao.
3. Anamiliki Tractor mbili bora kabisa za ""Masei Fagasoni"" na John Deer.
4. Mama Jofu ni mfugaji wa samaki, ng'ombe, mbuzi, na kuku kwenye moja ya location kwenye hii nchi.
Kwa taarifa za Jofu mwaka jana aliuza samaki wa mil 18 kwa mwaka.
5. Mama Jofu ni mstaafu mtarajiwa (miaka 58).
SCENARIO 03.
Tumite Juma.
Juma ni dereva wa bajaj pale Mbeya mjini.
Bajaj yake aliipata baada ya kujisave na hustle za kitaa na mama ake kumuongezea cash.
Nikiwa Mbeya huwa naitumia Bajaj ya Juma kushanti dili zangu zote private na za serikali.
Kwahiyo ukaribu wetu wa kupeana madili umetufanya tuwe tunaitana mpaka bar kupiga vyombo.
Kuna siku nikamwita NASOMA BAR akanieleza yafuatayo....
1. Juma ni graduator wa certificate aliyeona chuo kinampotezea muda na kuamua kuingia kitaa.
2. Baba ake Juma ni mwanajeshi mstaafu mwenye mashine ya kukoboa mpunga kubwa balaa.
3. Baba ake Juma ni mkulima mkubwa sanaa wa mpunga pale mbalari, anakwambia gunia 400 - 600 kwa mwaka hazimsumbui.
THE PROBLEM.
Baada ya kueleza scenario hizo, hebu sasa twende kwenye hoja ya mada husika ""WAZAZI MNAFELI WAPI??""
Wote hawa niliwauliza(ga) swali moja common ""Kwanini mnahangaika Ajira Portal, Kwanini mnahangaika na ajira wakati wazazi wenu wana ajira mikononi mwao, na ukicheki nyie ndio warithi??""
THE BIG PROBLEM.
Majibu yao .....
1. John
Anasema, baba ake huwa hamshirikishi chochote.
Kuona hivyo John akaona awe anapanda mpaka fuso za baba ake ili aende K.koo kujifunza wanavyofanya wafanyakazi wa baba ake labda baba ake ataelewa, ila unaambiwa baba alipiga "ndita".
Anakwambia alishawahi kukaa k.koo siku 3 anasubiri mizigo akawa analishwa na dereva.
John kuona hivyo akaamua kutoa wazo arudi shule ili akasome CPA(T) unaambiwa baba aligoma.
Akaona chakufia nini AKAAMUA KUSEPA DUNIANI KUJA KUJITAFUTIA MAISHA NA AANZE UPYAAA..!!!
Cha ajabu baba ake ni la saba la Nyerere, kwahiyo haijulikani anataka nini, maana kumshirikisha John mali hataki na kumsomesha hataki..!!
2. Jofu.
Huyu anakwambia mama ake ni miyeyusho sanaa.
Yeye kila akimletea mama ake hoja za mtaji mama anasema ""Hana hela"".
Jofu akaona labda anaomba sanaa hela, anakwambia akabadili staili.
Akawa anamuomba mama ake ruhusa ya yeye kulima eka 50 ila mama ake amsapoti, halafu akipata auze maguni yotee apate mtaji aanze kufanya biashara.
Ila unaambiwa mama aligoma.
Jofu akaamua kuomba kwenda driving school labda mama atamwelewa.
Mama alimpeleka driving school sawa, ila tractor hakumpa kuendesha..!!!
Mama ake Jofu ni Dr (PhD) kwahiyo anamtaka mwanae akasome asiishie Diploma.
Na Jofu kwenye shule hataki anataka biashara...!!
Jofu kuona havieleweki akaamua kusepa kwao, kuja huku kutafuta kwa kuanza kujitolea.
3. Juma
Anakwambia anachuki na baba ake mpaka muda mwengine huwa inajionyesha.
Anakwambia kashafanya mazuri mengii ili baba ake anagoma kabisa kusapoti.
Kaomba kila sapoti baba hataki, kaomba kushirikishwa kwenye mambo ya shamba ya baba, ila baba hataki...!!!
Kifupi baba kala buyu.
Juma akajionea uzushi, kasepa kwao huko ubaruku, akaenda Mbeya na sasa ni dereva wa bajaj huku baba ana mali nyingi tu..!!!
Baada ya maelezo yotee
"" WAZAZI KWANI MNAFELI WAPI??""
1. We unadhani ukifa nani atarithi hizo mali?
2. Huyo ni mrithi gani ambaye atapewa mali hata hajashirikishwa chochote?
3. Kwanini watoto wateseka ajira huku mnazo mikononi mwenu??
Anyaway...
Tuendelee kutafuta hela.
#YNWA
#YANGA_BINGWA