Wazazi hugundua marafiki wa uongo, Watoto hugundua ndugu wanafki, Marafiki hugundua mpenzi asiekufaa,

Ndio sitaki mazoea ya kisenge na mtu wangu kwa rafiki amjue mtu wa Musoma huko Geita yeye wa Dar anamjuaje? Acha ujinga wako hapa marafiki kuharibu mahusiano ya watu kisha mnataka mgonge nyinyi au sio?
Pole sana, hata marafiki wapo wabaya na wazuri.

Inavyoonekana maishani mwako umekutana na marafiki wengi wabaya walioshia kukutumia, kuto kuthamini na aliekuumiza zaidi probably alikuchapia mke, Ni tatizo la kisaikolojia wahanga wa kukutana na marafiki wabaya mtazamo wao hubadilika juu ya marafiki, ni ngumu sana kuja kuamini tena kuna marafiki wazuri.
 
Hakuna rafiki mzuri akili kichwani marafiki wa kimaslahi sio marafiki
 
Huwezi kuamini hayo mpaka ukutane nayo mengi na yaliyokuachia makovu,

inavyoonekana kisaikojia umeathirika baada ya kukutana na marafiki wengi wabaya kuzidi wazuri, hii hutokea sana unapokuwa ni mtu unaetumia nguvu kubwa kulazimisha urafiki, huna alternatives, una vitu vingi vinavyovutia watu na hujui kuspot marafiki wabaya unaanza kuona uhalisia wao wakishajipata, n.k.

Nina jamaa ana tatizo kama lako, kakataza mpaka watoto kuleta marafiki nyumbani
 
Sihitaji marafiki waduanzi watagonga mpaka mkeo, urafiki urafiki unafiki kuharibiana tu
 
Back
Top Bottom