Wazazi , Kaka, Dada wafundisheni Mabinti zenu na Wadogo zenu wa kike kucheza na Biological Clock zao. Mimba zinawatesa sana wanawake kupatikana

Wazazi , Kaka, Dada wafundisheni Mabinti zenu na Wadogo zenu wa kike kucheza na Biological Clock zao. Mimba zinawatesa sana wanawake kupatikana

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
ukweli mchungu changamoto za uzazi ni kubwa sana nowdays. sababu kuu mabinti wanachelewa kuolewa.

mwanamke wa miaka 30 mimba haipati kwa urahisi kama mwanamke wa miaka 25 ama mwanamke wa miaka 18

30 yrs is a prime for women mental maturity but not for carrying and birthing a human.

WAGANGA WA KIENYEJI NA WATU WA TIBA ASILI, MANABII NA WACHUNGAJI WANAIBIA WANAWAKE

wanawadanganya wamerogwa ndio maana hawapati mimba huku sababu kuu ni umri wa hao wanawake ni mkubwa mayai yamepungua ubora
 

Attachments

  • mimba age.jpg
    mimba age.jpg
    66.6 KB · Views: 8
  • mimba.jpg
    mimba.jpg
    110.4 KB · Views: 7
Watafute uchumi kwanza sio wanakimbilia kuzaa vibarua na watumwa na kuendeleza kizazi cha umasikini.

Ukiwa na PESA you don't need a biological daughter or son anyone can stand by ur side and call you daddy or momy.
Upo right mkuu, Tanzania tupo zaidi ya 65M,na uchumi wetu unakua kwa 4% to 6%,na tunaongezeka kwa 3%,Botswana wapo under 3M na uchumi wao unakua kwa 6%,nani katuloga sisi watanzania?,pls pls tuache kuzaana, tujenge uchumi kwanza
 
Sababu kubwa ya kuwa na matatizo mengi ya uzazi haswa kwa wanawake ni matumizi mabaya ya dawa za majira maarufu contraceptive drugs.
Wadada wanatumia dawa za majira bila kufuata utaratibu na kuwaletea changamoto nyingi kwenye afya ya uzazi
 
Back
Top Bottom