Mtoto ni sawa na flash tupu ni wewe mzazi jukumu lako umfeed Nini ili flash ijae ukitaka ngono, pombe bangi udangaji za Kina diamond harmonize zuchu ni wewe hao hawana hasara kwa mikataba waliyoingia kubomoa jamii ili wapate pesa
Shida ni kua jamii nzima ya kitanzania hatuna uelewa wa Parental Guidelines (PG)
Watengeneza muvi wala hawana shida maana muvi inakua ishawekewa Rankin zake kama iangaliwe watu miaka yote, 13PG au 16PG.
Sasa unaweza kuta mzazi anaangalia muvi yenye ranking ya TV-MA yupo pamoja na watoto. Au hajali watoto wanaangalia muvi yenye ranking gani. Hata Cartoon zina ranking yake sio kila katuni ni ya kuangalia mtoto. Kuna kama katuni za Adult Swim huko hakuna content za kitoto.
Nadhani elimu ndio inapaswa kutolewa kwa wazazi juu ya jambo hili. Mchawi wetu ni ujinga
Head's Up: Maneno nitakayoandika hapa haimaanishi kua nina dharau Uweza na Uumbaji/ Status ya-wa mwanamke katika Jamii. Kwanza kabisa mimi ni mpenzi wa Superhero based content, hasa content zinazotengenezwa na kampuni ya Marvel. Muvi hizi zinapendwa na watu wengi sana duniani wa rika zote na...
Kuna movie ziko restricted kuziona hata kama upo above 18 years. Na hizi mara nyingi kuzipata hadi uingie dark web. Na zipo categorized kama experimental films
Batman, monster university, spider man, scoops doobu, cartoon za kwenye tv,kama umeamua kumuharibu mwanao mwache aziangalie,
Bora umdownloadie cartoon za kuchagua mwekee kwenye flash.
Spider man wanapromote ushoga cocomelon Wana katuni za mafundisho kwa watoto japo Kuna mwaka Kanisa Duniani liliwashutumu walitoa katuni ya kupromote ushoga.
Wabibi Huwa Sio walezi kwanza wamechoka ni kuwapa mzigo pili hawana uwezo wa kuendana na pressure za Sasa hivi .
Mimi hata mtoto akiimba
.Hanii aaah hanii
.Boloo bolo eh bolo
.Kamatia chini
.Ikatikie
.Nyege nyegezi
.weka nchomeke
. amelowa
.Chura
.okonkoo nikukupa utawezana
Hapa bibi haelewi hizi code za ngono lakini watoto wa Sasa hivi wanazifungua vizur maana zake.
Hawa mawakala wa shetani walioingia mkataba kuibomoa jamii wanachojali ni pesa tu.
Usipomlinda mtoto wako jamii haiwezi kumlinda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.