Wazazi mjipange Pamoja mkitoa nasaha harusini kwa wanenu vinginevyo mtaaibika

Wazazi mjipange Pamoja mkitoa nasaha harusini kwa wanenu vinginevyo mtaaibika

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Baaada ya huzuni siku nzima usiku nikabahatika kuhudhuria harusi moja nzuri ya furaha na bashasha ya Wanyakyusa vs Wanyalu

Ilipofika nasaha binti ni mnyakyusa akasimama Baba ''Mwanangu sina mengi ila nikukumbushe simu yako simu ya mumeo nisisikie kesi ya simu mimi ninemaliza...''

Zamu ya mama ''Mwanangu nimefanya yote upande wangu iliyobaki kutekeleza kwa mumeo. Kingine mwanangu mumeo si alikuwa anakupigia unapokea na hujaolewa bado! Naomba nikuonye mwanangu simu sumu narudia simu ya mumeo sumu na wewe mkwe wangu simu ya mkeo sumu. Waswahili wanasema pita kule tuliamka kwa shangwe na nderemo mama sema usiogopee sema..

Pamoja tulicheka nikaona kuna udhaifu ulitokea nyie mnaoenda kuozesha mjifunze. Halikisheni mnachoenda sema ni kimoja ndio maana wachaga ujinga huu haupo akiitwa baba ..akaja itwa mama anasema nafikiri yoote baba amemaliza niwatakieni maisha mema

Nini tumejifunza
1. Mahusiano ya wakwe sio mazuri
2. Heshima

Hata kama baba amekosea mwanamke ulitakiwa mkitoka mwambie mwanao na mkweo na sio kupingana mbele ya umati. Wanyakyusa mpoo niongeze voice?

3. Hawana umoja kabisa....hii inamaanisha yale mambo ya changu chako yamo ndani.

Ujumla mengi yako kwa wakwe na pengine walishawahi fumaniana kwenye simu siri yao.

Ushauri
Msishindane mkitoa nasaha mtoe kitu kimoja shida zenu za ndani mafuruku kuonyesha nje.
 
ume"bold" ¾ ya thread unaumiza macho ya wasomaji
 
Inafurahishaaa ila.mpaka nafika nyumbannwapendwa.nimevaa kiatu cha yule baba amejisiiikiaje alafu yule punda wa kuchukua vid mama.anaongea anamzoom.babaaa..pa.....fu
 
Pdidy katika ubora wako 🤣🤣🤣🤣 ujumbe mzuri sana.
Sasa mwanzo, ulikuwa na huzuni ya nini tena? Kabla ya kwenda kwenye sherehe?
 
Best wsngu ma.sis alipata ajali kufik luga...wakagoma kumpokea wanataka pf3...usiniikumbushe achaafhkjhduiwhsuhwksiywbs. Basi
 
Hujaonaaa dia nimepoteza ma.sis na uzembe waa luga....hosp
Sijaona dear Didy poleni sana sana, kwa kuondokewa na dada.
Mwenyezi Mungu, ailaze Roho ya Marehemu mahala pema peponi.
 
Sijaona dear Didy poleni sana sana, kwa kuondokewa na dada.
Mwenyezi Mungu, ailaze Roho ya Marehemu mahala pema peponi.
Thx myn dunia cio...nyway....ndo maisha....wanyakyusa wamejiangusha jana loh ...
 
Back
Top Bottom