Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Mwanamke wa kinyakyusa akikosa adabu anakuwa amekosa adabu kweli sio mchezo, unaweza kupata mke mzuri ila akapata mabadiliko ya tabia Kwa influence ya wazazi na wadada wanapenda kutembelea sana familia za kaka au shemeji na kuchunguza kwingi. Mawifi na wao ni kama wameoa, wadada utadhani na wao wameolewa.Baaada ya huzuni sikunzima
usiku nkabahatikaa kuhudhuria harusi moja nzuri ya furahaaaa na bashashaaa
wanyakyusa vs wanyaluuuu
ilipofika nasahaa binti n mnyakyusaa...akasimmama Baba
Mwaangu sina mengi ila nikukumbushe simu yako simu ya mumeo nisisikie kesi ya simu m ninemaliza.....
MAMA
Mwanangu nimefanya yote upande wangu iliobaki kutekeeza kwa mumeoooo
kingine mwanangu mumeo si alikuwa anakupigia unapokea...na hujaolewa bado .....
naomba nikuonye mwanangu simu sumuuu narudia simu ya mumeooo sumuu na wewe mkwe wanguu simu ya mkeoo sumuu waswahili wanasema pita kule tuliamka kwa shangwe..na nderemooo mama sema usiogopee sema...
Hapaa.pamoja tulicheka nkaona kuna udhaifu ulitokea nyie mnaoenda kuozesha mjifunze........
halikishen mnachoenda sema n kimoja ndio maana wachaga ujinga huu haupo akiitwa baba ..akaja itwa mamaa anasema nafikri yoote baba amemaliza niwatakieni maisha mema
nini tumejifunza
1.Mahusiano ya wakwe sio mazuri
2.Heshima
hata kama baba amekosea mwanamke ulitakiwa mkitoka mwambie mwanao na mkweo na sio kupingana mbele ya umati..wanyakyusaa.mpoo niongeze voice ...
3.Hawana umoja kabisa....hii inamaanisha yale.mambo ya changu chako yamo ndani....
ujumla mengi yako kwa wakwe na pengine walishawahi fumaniana kwenye simu siri yaooo .
Ushauri
Msishindane mkitoa nasaa mtoe kitu kimojaa shida zenu za ndan mafuruku kuonyesha nje...sirizenu...