Wazazi mmekuwaje?

Unapoolewa
1. Unakuwa na mji wako (unaanzisha mji wako)
2. Unampunguzia au gharama za kukulea. Unaona raha kukaa hapo nyumbani na mama yako?
3. Wajukuu wanakuwa na baba anayeeleweka
4. Ni ufahari na heshima kwa wazazi /mzazi.
5. Mwanamke anakuwa amepunguziwa majukumu ya kujihudumia.
Je, wewe unapenda binti yako uishi naye bila kuolewa?
 
Una hoja lakini tutafute hela kwanza
 
Kuna ndugu yangu alimkataa mkaka aliyeleta barua kumuoa kisa ni body guard sasa hivi ana mtoto ni single maza anatafuta mumeπŸ˜‚
Kumbe mfano unao karibu, kwahiyo mama hataki hayo yakupate nasisitiza usijichanganye kuzaa unaadhirika mara kumi kuliko na waja tunavyojua kusengenya πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…