Wazazi mmekuwaje?

Wazazi mmekuwaje?

Kwani wewe umeshaolewa?🤔
Mimi sijaolewa bado lakini soon inshallah

mi mama yangu hajawai ni force niolewe she forced me kutafuta ka kitu walau niweze hata mudu breakfast ya afu tatu 😅😅😅😅

then i can look forwad 😍
 
Kuna dada mmoja wa kijapan anaitwa Yuki alihadithia same story. Anasema mama yake alimweka chini akamwambia ni wakati wa kuolewa na kumuhudumia mumeo.
Yuki listened to her mother very carefully. And said, https://jamii.app/JFUserGuide that shit and moved to Canada
 
Back
Top Bottom