emanuel kiwonyi
JF-Expert Member
- May 1, 2015
- 437
- 641
MmhSasa si kweli ushamaliza chuo maana wazazi washamaliza majukumu yao, unatakiwa uolewe au uondoke ukafanye kazi kuepusha mambo yasiyotegemewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmhSasa si kweli ushamaliza chuo maana wazazi washamaliza majukumu yao, unatakiwa uolewe au uondoke ukafanye kazi kuepusha mambo yasiyotegemewa.
Mwambie aje lodge chapu room siunaijua mpe maelekezo tu asichezee bahat mm ndyo mwanaume pekee mwenye mapenzi ya kweliKama min -me au kaka Carasco Putin ?
Sawa kile chumba cha week iloipita au week hii?Mwambie aje lodge chapu room siunaijua mpe maelekezo tu asichezee bahat mm ndyo mwanaume pekee mwenye mapenzi ya kweli
😂😂😂Nakuozesha wifiSiamini kama unaniuza
Mwenye macho haambiwi tazama tunapunguza competitionFungua uzi ili wanaotaka mume waje.
Umeshauriwa usikubali kuitwa mchumba ukawa unachekelea kwahiyo kwenye hao wachumba wewe unaweza usijihesabu(ironically)Kwamba unadhani mimi nitakuja huko pm? Wewe fungua uzi ukiganda hapa utachelewa
Mimi sio niliyetoa huo ushauri ko sina kinachoniumizaNingeona athari yoyote kwenye maisha yangu nje ya kuitwa ephen ningeacha kabla hata ya kupewa ushauri na yeyote.
Unavyokuja ndivyo ninavyokupokea, wewe unaumia wapi ili nikupulize?
Kwahiyo jimbo liko waziNi mtu mwenye akili fupi tu ambae ataamini hao wote ni wachumba zangu
Hapana mimi nipo tofauti na mkuu hapo, mimi wachumba nilioona kwenye huu uzi wako wananifaa(means naweza kumpata wa kufa na kuzikana humu) na siyo wachumba ulionao weweWewe na aliyeleta ushauri Manyanza mnawaza sawa tofauti ni kwamba wewe nimechagua kukujibu yeye nikamdharau
Mbwembwe zote mwisho wa siku unauliza kama jimbo liko wazi!
Siwezi kujibu maswali mepesi
Baada ya kunielewa ungenijibu sasa jimbo lipo wazi?Sawa.
Hii vita siwezi shinda acha niishie hapaSijibu maswali mepesi
na wewe mbeaHata sio mabinti peke yao. Vijana ambao tunatafuta bado nao waliokurupuka kuoa wanaonja joto la jiwe. Mtu kisa kamaliza chuo wazazi hao mbiombio wanataka aoe au kuolewa. Kuna washkaji zangu Waislamu wao wazazi wanaandaa mazingira kijana akimaliza ataoa na atamtunza mke kwa hiki kibiashara. Sunna haiji na maneno matupu.
Sasa wazazi wengine wanawaza kuchangiwa kurudishiwa michango yao ya harusi na kutuzwa, aftermath utajua wewe. Binti ni gratuate anaolewa na mume kaajiriwa Posta kwenye ofisi binafsi zile zinakaba unatumia muda mwingi kazini, take home 600,000 alafu wanaishi Mbezi ndanindani huko maana ndio nyumba nzuri zina gharama nafuu.
Ukitazama spending ya wote kwenye familia kwa mwezi ni 550,000 na hapo kuna miujiza mtoto haumwi. Akiumwa tu hizo nauli za Mbezi kwenda hospitali mke na mtoto hawapandi daladala ni bajaj. Hapo ukweni hawajafiwa na hawajapata harusi.
Vicious cycle of poverty.