Wazazi mmekuwaje?

Wazazi mmekuwaje?

Ningeona athari yoyote kwenye maisha yangu nje ya kuitwa ephen ningeacha kabla hata ya kupewa ushauri na yeyote.

Unavyokuja ndivyo ninavyokupokea, wewe unaumia wapi ili nikupulize?
Mimi sio niliyetoa huo ushauri ko sina kinachoniumiza

Ila huu uzi wako umenionesha wachumba wengi sana(kwa kufuata ushauri wa mdau wewe unaweza usiwepo)
 
Wewe na aliyeleta ushauri Manyanza mnawaza sawa tofauti ni kwamba wewe nimechagua kukujibu yeye nikamdharau

Mbwembwe zote mwisho wa siku unauliza kama jimbo liko wazi!
Siwezi kujibu maswali mepesi
Hapana mimi nipo tofauti na mkuu hapo, mimi wachumba nilioona kwenye huu uzi wako wananifaa(means naweza kumpata wa kufa na kuzikana humu) na siyo wachumba ulionao wewe

Mkuu ushauri wake tusikuite mchumba au usiwe unakubali kirahisi tukikuita mchumba ukawa unalidhika(mimi nimeelewa hivyo)
 
Hata sio mabinti peke yao. Vijana ambao tunatafuta bado nao waliokurupuka kuoa wanaonja joto la jiwe. Mtu kisa kamaliza chuo wazazi hao mbiombio wanataka aoe au kuolewa. Kuna washkaji zangu Waislamu wao wazazi wanaandaa mazingira kijana akimaliza ataoa na atamtunza mke kwa hiki kibiashara. Sunna haiji na maneno matupu.

Sasa wazazi wengine wanawaza kuchangiwa kurudishiwa michango yao ya harusi na kutuzwa, aftermath utajua wewe. Binti ni gratuate anaolewa na mume kaajiriwa Posta kwenye ofisi binafsi zile zinakaba unatumia muda mwingi kazini, take home 600,000 alafu wanaishi Mbezi ndanindani huko maana ndio nyumba nzuri zina gharama nafuu.

Ukitazama spending ya wote kwenye familia kwa mwezi ni 550,000 na hapo kuna miujiza mtoto haumwi. Akiumwa tu hizo nauli za Mbezi kwenda hospitali mke na mtoto hawapandi daladala ni bajaj. Hapo ukweni hawajafiwa na hawajapata harusi.

Vicious cycle of poverty.
na wewe mbea
yaani umechunguza wee daah umetisha 😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom