Palina
JF-Expert Member
- Oct 9, 2021
- 3,551
- 9,522
π π π π π π π π π π nimecheka sana ila wazazi daahHata mimi ningekuwa mzazi wako nakuolesha kwa makusudi (lazima).
Kwanza, wewe ni bonge. Unakula sana. Unakunywa maji mengi. Nguo zako ni kubwa, zinatumia sabuni na maji mengi. Na bahati mbaya sana mabonge ni wavivu.
Bajeti ya kukuhudumia ni kubwa sana. Olewa ukajambe kwa mumeo.
so ni bonge really???