Wazazi mmekuwaje?

🤣🤣🤣🤣 mimi nilimjbu mama yangu kua Karnes zao siyo sawa na sasa
Hiyo conclusion yako sababu ya wazazi kushinikiza uolewe ni kwakiwa hawajajipata sio sahihi.Wazazi wanatarajia watoto waolewe especially wanapokuwa wamemaliza masomo,kuepusha aibu ya kuzaa wakiwa bado nyumbani.Hilo ni jambo la fedheha kwafamilia yoyote bila kujali kipato
 
Baada ya maisha kugeuka na (new age) kuwa na maamuzi kutoka vichwani mwenu basi wazazi hawatakiwi tena kusema au kuongea lolote kuhusu nyie.

Wakati wa nyuma huko mzazi akiongea ilikuwa ni kama maono na ilikuwa mtu unajijadili kwenye kikao cha fikra za kichwa na ubongo wako, sasa hivi ni kuuliza tu "wazazi mmekuwaje?"

Umemaliza chuo tena ni mwendo wa Degree, PhD au kadiploma pia, na unakimbilia 30+ unafanya nini kwenu?, kaanzishe familia huko, mengine huko mbele utapata na mwenzio 😐!.

Bahati mbaya wengine mnakunika haswa na hao boyfriend wenu, yaani nyumbani ni unakuja kumpumzika kutokana na free show from logi how come nyumbani iwe your rest house?.

NO, olewa binti, naungana na wazazi wenzangu, yes ondoka 😀.
==========
Ongezea na kauli ya mzee mwenzangu mwingine hapa chini.

View: https://x.com/Cheka___tz/status/1818275505751445781?t=4LFQLkllrMTtV81X1jDWTQ&s=19
 
🤣🤣🤣🤣 mimi nilimjbu mama yangu kua Karnes zao siyo sawa na sasa
Wadada waongo Kama huyu ,hawaolewi ng'o ,ni juzi ulisema habari za umri vidume vinajichenga alafu Sasa hivi unakuja na huu uongo tena ? Namshukuru Mungu sikuja PM maana nisingekuoa ningekuchezea kabisa
 
Watoto pia mnakuwaga na viburi endapo hamjaharibu.

Nilishuhudia binti kulazimisha kuolewa na boyfriend wake aliyekuwa classmate wa chuo.

Alimshinikiza huyo Boyfriend alete posa kwa wazazi wa binti, akaleta posa.

Wazazi wa binti wakampa kazi kaka yake binti ya kuipokea posa na kuprocess ishu za posa kama kukubaliwa au la.

Kaka wa binti akafanya survey ya kumchunguza Boyfriend wa mdogo wake, akaomba appointment, wakakutana.

Kaka akaja na majibu kuwa huyo boyfriend hafai hasa kwenye suala la maadili maana ndio ilikuwa kigezo cha kwanza.

Maamuzi yakawa posa ikataliwe.

Binti akipojua, akawaka. Kumbe behind the scene, binti alikuwa na Ujauzito wa huyo boyfriend wake na walikubaliana wafanye fast wafunge ndoa kabla ujauzito haujawa mkubwa.

Lakini ikawa ni kizaa zaa cha wazazi kukataa, muda ukaendelea kusonga mbele, mimba ikawa kubwa. Ilipojulikana Wazazi wakasalimu amri wakaamu wafunike kombe, wakakubali aolewe.

Ndoa ikafungwa binti akiwa ana Ujauzito wa miezi 6.

Baadae ndoa ikadumu kwa mwaka mmoja, ikawa hamsini kwa hamsini. Idadi ya ile population ikaongezeka mtaani.

Laiti asingepata Ujauzito asingeshinikiza na angekuwa kama ninyi mlivyowatolea nje wazazi wenu.
 
Haya tuanze taratibu Hoja yako ni ipi Kutokana na Mifano yako uliyotoa kwenye 'comments' zako?
Kumbe hoja hata hujaielewa sasa pale umepinga nini. Umesema nilichoandika sio reality, mpaka unapinga ilibidi uwe umeelewa. Sasa umeishapinga kisha unataka uelekezwe. Ndio familia mnazilea hivi?
 
Kumbe hoja hata hujaielewa sasa pale umepinga nini. Umesema nilichoandika sio reality, mpaka unapinga ilibidi uwe umeelewa. Sasa umeishapinga kisha unataka uelekezwe. Ndio familia mnazilea hivi?
Hapana.

Nilitaka Ubainishe Mada ya Kujadiliana na Mimi maana umetaka Mjadala kwa namna Ilivyohitaji Maelezo yangu. Sasa kila mjadala lazima Mada iwekwe wazi. Kama kubainisha Hoja Kuu ni tatizo tunaweza kuendelea hivyo hivyo haina shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…