Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Naingia mitamboni soon tuna harusi humu jukwaanii...Mwambie basi asizingue. Huku JF tuko machalii ambae tuko real asee hatujoki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naingia mitamboni soon tuna harusi humu jukwaanii...Mwambie basi asizingue. Huku JF tuko machalii ambae tuko real asee hatujoki
Sawa dear ila huyu single mother namchoraga tuSawa cool down
Yeleuwiiii. "Ngitirima" kwa kichaga tunamaanisha nasubiriNaingia mitamboni soon tuna harusi humu jukwaanii...
Najua. Bana hizo ni lingua franca dearKuongea hujui!!! Hovyoo
Ngojea nikuache ukiacha balehe utakua nakuelewa unaongea utumbo.Mpumbavu mkubwa wewe! Kumbe ndio uwa una uharo kiasi hiki?? Pole kwa aliekuoa na mama zako, unaishi wapi kwanza? Mpaka hao waarabu unasema malaya? Narudia kukuambia kama uligawa K kabla ya kuolewa au dada zako wote sio mabikra ndio maana hawaolewi uisje na povu humu! Unasema Miki ndio balehe unanijua? BIKRA NI BIKRA TU, MPE HESHIMA YAKE MALAYA NI MALAYA TU!! FULL STOP, MWANAMKE GAJI ATARUHUSU KULIWA K KABLA YA KUOLEWA?? UMALAYA NI TABIA YA KURITHI KUBALI AU KATAAA HAITOBADILIAHA KITU CHOCHOTE, MWANAUME ANAEOA LIMWANAMKE LILIOLIWA NA WANAUME KIBAO HUYO EIDHA MAMA YAKE HAKUA BIKRA KIPINDI ANAOLEWA AU HUYO NI FUKARA KUPITA KIASI, ILA KWA WANAOJIELEWA HAWAWEZI KUOA KITU USED WAKATI VIPYA VIPO, SASA HAPO MME WAKO ALIKUWA NA SIFA GANI KATI YA HIZO?
Unamuona huyo kijana alivyo hana akili!?Usitukane kwenye uzi wangu pleaseeee
Chalii stay calm. Okay boss, she is now talking our language, she's talking the language.Najua. Bana hizo ni lingua franca dear
Utapata ukitaka...😀😀😀hakuna mwanaume ata resist kama uko na wife material fichazi...cha kwanza ni kuwa na uhitaji kutoka moyoni...sio unasema unataka kuolewa ila matendo yanaonesha unapinga ndoa...Sasa wadau wananiambia nina uhakika gani kua 25 nitapata wa kunioa
Hana adabu na nahisi huyu atakua zao la single Maza kama anavyoniita mimi single Maza sasa ngojea.Kausha..!
Wewe ndiye umeongea point! Asante sana muhimu matendo yawe memaUtapata ukitaka...😀😀😀hakuna mwanaume ata resist kama uko na wife material fichazi...cha kwanza ni kuwa na uhitaji kutoka moyoni...sio unasema unataka kuolewa ila matendo yanaonesha unapinga ndoa...
Acha ukali dogo...😃😃😃Kuongea hujui!!! Hovyoo
Sawa tunataniana ila this time around tuache kutaniana. Sawa?Huyo napenda kumtania ni rafiki yangu tunajuana😂
Hii umepiga kwenye mfupa dadeq!. Sioi binti alievusha 30s kwanza itakua kujitaftia nuksi tuSasa binti, we huoni tu dalili humu JF, binti akifika 30s wanavompopoa na wengi wanavokuja kutafuta waume humu?
Unaeza kulaumu au kuona wazazi wanaimba ngonjera lakini kaa ukijua kwa sisi wanaume, ni very rare kuoa mtu alie na umri mkubwa. Kwanza kuanzia 30s hata uzazi ni geriatrics.
Wasichana wana window flani between 24 and 28 years, hyo ndo window ambayo ni rahisi kuolewa lakn wengi hua hawaioni, ukishatoka hapo, utahaha kwa sababu ni rare kupata wa makamo yako.
Wengi watabisha, lakn ndo hali halisi.
Maybe kama uko huko mambele