Wazazi mmekuwaje?

Ngojea nikuache ukiacha balehe utakua nakuelewa unaongea utumbo.
Hao waarabu mimi naishi nao.
Umalaya ni chaguzi,mtu ukichagua kuwa malaya utakua.
Pia matusi hayakusaidii kitu.
Pia sitakutukana maana sitaki kuonekana MPUMBAVU kama wewe,UKIMALIZA BALEHE KAJIFUNZE ELIMU YA KIJAMII HUWENDA UKAELIMIKA.
ila kwa sasa ngojea nikuache huna akili ya kujadiliana na mimi utaniambukiza ujuha.
Pia mimi sio mwanamke pia UKOME kuhusisha wazazi wa Watu kuwa na adabu laa sivyo naku report kwa mods sasa hivi.
 
Pole sana cha msingi na sekondari ebu jaribu kuwasiliana na wachumba ujue wanasemaje kuhusu ndoa! Mara nyingi nao bado wanatafuta kikubwa ni kumuomba Mungu ipo siku utampata wa kufanana nae!
 
Utapata ukitaka...😀😀😀hakuna mwanaume ata resist kama uko na wife material fichazi...cha kwanza ni kuwa na uhitaji kutoka moyoni...sio unasema unataka kuolewa ila matendo yanaonesha unapinga ndoa...
Wewe ndiye umeongea point! Asante sana muhimu matendo yawe mema
 
Hii umepiga kwenye mfupa dadeq!. Sioi binti alievusha 30s kwanza itakua kujitaftia nuksi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…