Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahahaha, safi sanaKuna kijana namsikilizia☺️
Khaa,humsikiliziii tena kijanaBora niwe single 😂
HahahahahaNamaanisha kupewa vincenzo bora niwe single
Ana hasira yule ngumi mkononi
Wewe utaolewa lini😂😂😂😂Sawa msubiri tu
Ukikuta alikua anasikiliziwa na mrembo mwingine uje nikupe kaka angu Vincenzo Jr
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Bora niwe single 😂
Acha ujinga wako hapa.SINGO MAZA OYEE
Nitatwanga hicho kichwa mpaka akili zikukae sawa.Ahhh sasa hapo mbona hakuna matumaini Ila ongea nae vizuri maana hakuna mkate mgumu mbele ya chai 😁😁😁
Bado nipo nipo kwanza😂😂😂😂😂Wewe utaolewa lini
None of the aboveKama min -me au kaka Carasco Putin ?
Eti mimi ni kataa ndoa ,hanitaki😁😁Kama min -me au kaka Carasco Putin ?
ATI hataki timu kataa ndoa😂😂😂Eti mimi ni kataa ndoa ,hanitaki😁😁
Subiri kwanza! Tuvute miakaKama eqn x 😂😂😂😂😂😂uuuuuuuuh uwiiiiiiiiiiii.
Bora Countrywide