Wazazi mmekuwaje?

Mchumba yupo ndoa ndio hakunaaa๐Ÿ˜‚
Mama sasa anapewa presha na baba,sababu wote wanasikia simu zako hasa za usiku.mkitakiana usiku mwema.

Mama huwa anakuchora ukikaa kibarazani unachart nae huku ukiacha tabasamu mwanana,anaona hapa mwanangu kapata wa moyo wake kumbe.

Na akiwaza kipindi anakuogesha akikutawaza kitumbua chako anasema mwanangu anagawa kitumbua mimi sijapata hata doti ya khanga,

Bisha!
 
Mkuu! Wewe ndiye umeandika kitu kinachoendana na dunia ya sasa hivi

Kuingia kwenye ndoa huku mkiwa hamna vyanzo vya mapato vya kueleweka ni stress mara mbili yake.

Ifike hatua ndoa isiwe overrated!
Unaingia kwenye ndoa mnahitaji watoto wakati kipato chenyewe kuhudumia watu wawili ni mbinde!

Najitafuta, nikijipata nitageukia ndoa, sasa hivi waniache kwanza na matokeo yoyote sitomlaumu yeyote msalaba wangu nitaubeba mimi mwenyewe..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ