Wazazi mmekuwaje?

Wazazi mmekuwaje?

Mawazo ya mzazi ni kutokana na kwamba yeye ana fikra za enzi zile za ujana wake,wewe unafikra za sasa hivyo zama ni tofauti.Kama enzi zake kulikuwa na ME waaminifu basi yeye anafikiri na zama hizi ziko hivyohivyo. Cha msingi kaa nae chini mwelekeze tabia za ME wa siku hizi. Cha msingi usijiingize kwenye tamaa ya vitu vidogovidogo kama simu kwani shetani hana zawadi ya bure. ME anayekupenda kweli hawezi akautaka mwili wako kwanza na hapa ndio anguko la KE wengi
 
Back
Top Bottom