Mtu na nusu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 680
- 1,306
Leo nimefanikiwa kupiga story na mfanyabiashara wa duka la madawa lililopo karibu na chuo kimoja kikubwa tu hapa nchini.
Katika stroy zake nimegundua dawa inayonunuliwa kwa wingi hapo dukani Ni P2, na wateja wake ni wanachuo.
Story yake imenirudisha nyuma kidogo wakati nikiwa chuo, kulikuwa na ndoa nyingi zisizo rasmi, wanafunzi walipeana majukumu ya wanandoa kama hawana akili.
Ndoa nyingi zilikua zikidumu kwa muda mfupi tu kwani wanandoa uchwara hao walikuwa wakibadili wapenzi kila baada ya semester.
Kufupisha story wazazi anzeni kufuatilia mienendo ya mabinti na vijana wenu wanapokuwa vyuoni.
Vijana wengi wamepata maambukizi ya UKIMWI na mabinti kupewa ujauzito Bila wazazi kufahamu.
Kuna wengine hulazimika kutokurudi nyumbani wamalizapo chuo kwa kuogopa adhabu Kali kutoka kwa wazazi pindi Siri yao ikigundurika.