Wazazi, mnajua kama vijana na binti zenu wameoa na kuolewa huko vyuoni?

Mie nikiwa mwaka wa kwanza tu nilioa na tukapanga msewe na kupata mtoto mmoja, tuliachana baada ya yeye kuajiriwa km 800 toka nilipo na hakuwa tayari kuwa mke mkubwa. Hadi kesho akienda rikz6 anaandika mme jina langu
Na mtoto wenu vp
 
Kuna nyumba yangu moja madogo wamepanga wawili kijana na binti..niligoma goma baadaye nikaona hainihusu cha msingi wanakipa kodi yangu basi mengine watajua wenyewe.

Kwa hiyo mnao oa sasa hivi jueni kwanba hiyo ndoa si ya kwanza kwa binti ama kwa kijana.
Wanaosemaga hawawezi kuoa mwanamke aliyepita chuo Ni Kama wanahoja ila hawajua waiweke vipi ili ikubalike
 
Leo nimefanikiwa kupiga story na mfanyabiashara wa duka la madawa lililopo karibu na chuo kimoja kikubwa tu hapa nchini.

Katika stroy zake nimegundua dawa inayonunuliwa kwa wingi hapo dukani Ni P2, na wateja wake ni wanachuo.

Story yake imenirudisha nyuma kidogo wakati nikiwa chuo, kulikuwa na ndoa nyingi zisizo rasmi, wanafunzi walipeana majukumu ya wanandoa kama hawana akili.

Ndoa nyingi zilikua zikidumu kwa muda mfupi tu kwani wanandoa uchwara hao walikua wakibadili wapenzi kila baada ya semester.

Kufupisha story wazazi anzeni kufuatilia mienendo ya mabinti na vijana wenu wanapokua vyuoni.

Vijana wengi wamepata maambukizi ya UKIMWI na mabinti kupewa ujauzito Bila wazazi kufahamu.

Kuna wengine hulazimika kutokurudi nyumbani wamalizapo chuo kwa kuogopa adhabu Kali kutoka kwa wazazi pindi Siri yao ikigundurika.
Wewe ni mmoja wao?
 
Wanaosemaga hawawezi kuoa mwanamke aliyepita chuo Ni Kama wanahoja ila hawajua waiweke vipi ili ikubalike
Wa kwangu alivyomaliza form six tu nikamdaka..akaenda chuo mke wa mtu..najua waliniibia lakini si kwa style hii ya mke na mke miaka 3 chumba kimoko aisee !!

Yes namna ya kujenga hoja inakuwa ngumu, ila wanatafunwa sana hawa mabinti.
 
Walio vyuoni ni watu wazima kwa hiyo hatupaswi kushangaa! Tungeshangaa na kuhuzunika kama wangekuwa watoto wa sekondari au shule za msingi!
Ni sawa wakioa na kuolewa halafu ndoa zikafa wanapomaliza chuo?
 
Leo nimefanikiwa kupiga story na mfanyabiashara wa duka la madawa lililopo karibu na chuo kimoja kikubwa tu hapa nchini.

Katika stroy zake nimegundua dawa inayonunuliwa kwa wingi hapo dukani Ni P2, na wateja wake ni wanachuo.

Story yake imenirudisha nyuma kidogo wakati nikiwa chuo, kulikuwa na ndoa nyingi zisizo rasmi, wanafunzi walipeana majukumu ya wanandoa kama hawana akili.

Ndoa nyingi zilikua zikidumu kwa muda mfupi tu kwani wanandoa uchwara hao walikua wakibadili wapenzi kila baada ya semester.

Kufupisha story wazazi anzeni kufuatilia mienendo ya mabinti na vijana wenu wanapokua vyuoni.

Vijana wengi wamepata maambukizi ya UKIMWI na mabinti kupewa ujauzito Bila wazazi kufahamu.

Kuna wengine hulazimika kutokurudi nyumbani wamalizapo chuo kwa kuogopa adhabu Kali kutoka kwa wazazi pindi Siri yao ikigundurika.
Huo ndio uhuru walioumis mdau

Halafu wazazi wakijua yote hayo wala hawakasiriki wala kununa sasa fanya ukiwa sekondari huko.....
 
Leo nimefanikiwa kupiga story na mfanyabiashara wa duka la madawa lililopo karibu na chuo kimoja kikubwa tu hapa nchini.

Katika stroy zake nimegundua dawa inayonunuliwa kwa wingi hapo dukani Ni P2, na wateja wake ni wanachuo.

Story yake imenirudisha nyuma kidogo wakati nikiwa chuo, kulikuwa na ndoa nyingi zisizo rasmi, wanafunzi walipeana majukumu ya wanandoa kama hawana akili.

Ndoa nyingi zilikua zikidumu kwa muda mfupi tu kwani wanandoa uchwara hao walikuwa wakibadili wapenzi kila baada ya semester.

Kufupisha story wazazi anzeni kufuatilia mienendo ya mabinti na vijana wenu wanapokuwa vyuoni.

Vijana wengi wamepata maambukizi ya UKIMWI na mabinti kupewa ujauzito Bila wazazi kufahamu.

Kuna wengine hulazimika kutokurudi nyumbani wamalizapo chuo kwa kuogopa adhabu Kali kutoka kwa wazazi pindi Siri yao ikigundurika.
Ndio wasomi wetu hao.
 
SISI walianza poa tu wengi ila mwka wa pili kwenda wa tatu walipata vitumbo sio mchezo mpaka wale walikuwa watu wa dini
Exactly...mwaka wa 2 na wa3 mimba zinabebwa balaa..first year inakuaga kuna uoga fulani.na ushamba kutoka vijijin....wakishazoea sasa.ule ufree wa chuo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]....
 
Back
Top Bottom