Wazazi, mnajua kama vijana na binti zenu wameoa na kuolewa huko vyuoni?

Wazazi, mnajua kama vijana na binti zenu wameoa na kuolewa huko vyuoni?

Duuuuh.....mwenyewe nilioa mtoto wa mtu kipindi nikiwa chuo for 4 years but tuliachana baada ya chuo na bumu kukata[emoji120]
 
Pia waambie wakianza kuwafatilia huko chuo waanze pia na kuwajali kiuchumi hao mabinti, maana mzazi akisikia mtoto kapata mkopo ndo hata kumtumia pesa za kijikimu ndo kunakwisha.Hawapendi kuolewa na wanajua kabisa huo ni uzalilishaji ila watafanyaje sasa? wakati hali ya kiuchumi ni mbaya kwako. Meal and Accomodation ni M2 hiyo hiyo aongeze ada, hiyo hiyo ale na alipe kodi ya makazi mwaka mzima , akiona hali mbaya ndipo anapohamua kujiweka kwa mfadhili na mara nyingi wanaishi na watu ambayosi matamanio yao.
 
Sio wote wenginee wanamaliza chuo wakiwa bikra kabisa na ushahid..
So hapo ni jinsi we mwenyewe mzaz ulivyomkuza kimaadili kijana wako tangu mtoto...
 
Leo nimefanikiwa kupiga story na mfanyabiashara wa duka la madawa lililopo karibu na chuo kimoja kikubwa tu hapa nchini.

Katika stroy zake nimegundua dawa inayonunuliwa kwa wingi hapo dukani Ni P2, na wateja wake ni wanachuo.

Story yake imenirudisha nyuma kidogo wakati nikiwa chuo, kulikuwa na ndoa nyingi zisizo rasmi, wanafunzi walipeana majukumu ya wanandoa kama hawana akili.

Ndoa nyingi zilikua zikidumu kwa muda mfupi tu kwani wanandoa uchwara hao walikuwa wakibadili wapenzi kila baada ya semester.

Kufupisha story wazazi anzeni kufuatilia mienendo ya mabinti na vijana wenu wanapokuwa vyuoni.

Vijana wengi wamepata maambukizi ya UKIMWI na mabinti kupewa ujauzito Bila wazazi kufahamu.

Kuna wengine hulazimika kutokurudi nyumbani wamalizapo chuo kwa kuogopa adhabu Kali kutoka kwa wazazi pindi Siri yao ikigundurika.
Chuo ni kama ile big brother huwezi kuwaweka me /ke sehem moja halaf wanakula tu na kulala bure, sasa energy wanayoipata baada ya kula itaenda wapi?
 
mambo ya vyuoni yaacheni tu, mambo yanayofanywa na vijana kama wazazi wao wanayafahamu sijui ingelikuaje
 
Mchumba wangu niligundua kumbe chuoni aliishi na njemba ya Kisukuma kwa miaka minne kama mke na mume na njemba ndiyo iliyombikiri halafu ikaendelea kupiga for the next 4 yrs yaani demu wakifunga chuo haendi home anaenda kwa jamaa. Sasa nikaona hapa naoa mke wa mtu ama? Ilibidi tu nipige chini kwa kweli, japo kwa shingo upande. Yaani wengine wanatoka hapo mbususu zimepigwa zina mileage kubwa zimekuwa lapulapu kama mapupu...na mimba kibao walishatoa. Hovyo tu [emoji706][emoji706][emoji706]
 
Wa kwangu alivyomaliza form six tu nikamdaka..akaenda chuo mke wa mtu..najua waliniibia lakini si kwa style hii ya mke na mke miaka 3 chumba kimoko aisee !!

Yes namna ya kujenga hoja inakuwa ngumu, ila wanatafunwa sana hawa mabinti.
Mkuu hao wa form six wameshachakazwa sana na Walimu wao huko. Sekondari Walimu wanajipigia tu kuondoa stress za mishahara midogo.
 
Pika pakua kwa miaka minne. Kuna wakati nikahisi nimeshaoa. Wakati tunaelekea kumaliza nasikia habari za ndoa nikamwambia not now mama. Nikategeshewa kitu na box lake nikamwambia not now mama [emoji23][emoji23]

Kifupi college nilienjoy sanaaaa!!
 
Mbona huku mitaani ni jambo la kawaida? Kwa sababu ukifuatilia hapo utaona kama binti akibahatika kupata ajira kijana lazima aachwe na kama binti akipata ujauzito na hana kazi lazima aachwe!
Hapo manaake ni mbwa kala mbwa yani😂 atakae muwahi mwenzie lazma amuache yani!
Binti akipata boya mpya wa kumuingiza CRDB jua kijana lazma asage meno😀 na kijana nae akishampiga mimba kama hana mishe lazma akimbie😀
 
SISI walianza poa tu wengi ila mwka wa pili kwenda wa tatu walipata vitumbo sio mchezo mpaka wale walikuwa watu wa dini
Hahahah mwaka wa 2 kama una kademu kako mlikoanza mapenzi toka form 5 lazma kakupige chini😅 sijui kuna upepo gani mbaya ila lazma akutose yani wanabadilikaga balaa
 
Nina rafiki yangu St Josephu University, mbezi mwisho Naona kaoa tu, ila kwa ninavyo waangalia kwa jicho la mbali wakiondoka hapo chuo sidhani kama kuna ndoa hapo ni kunyanduana tu , aisee ukweli wanachuo wana nyanduana vikali [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahah chuo ni mahali pekee pa kutafunana bila kodi😅 ya mbunye! Wote mnakuwa na leseni ya kupigana miti bila kipingamizi na kumalizana genye kwa kwenda mberee!
 
Ukiwa mzazi wa mtoto wa kike fanya yafuatayo kwa mwanao:

1. Akifikisha umri wa miaka 3 mfundishe masuala ya ubakaji.

2. Akifikisha umri wa miaka 9 mfundishe masuala ya kukua pamoja na ngono.

3. Akifikisha umri wa miaka 15 mfundishe masuala ya mapenzi na kwamba umri wake hauruhusu hayo mambo.

4. Akifikisha umri wa miaka 17 mfundishe masuala ya mahusiano na jinsi ya kukabidhiana nayo.

5. Akifikisha miaka 20 mfundishe masuala ya ndoa.

6. Akienda chuo kikuu muonye juu ya ngono na mfundishe juu ya umuhimu wa nidhamu ya ngono katika maisha.

Baadae nitarudi kwa ajili ya watoto wa kiume.

Mwenye macho na asikie, Mwenye masikio na aone.
 
Hahahah mwaka wa 2 kama una kademu kako mlikoanza mapenzi toka form 5 lazma kakupige chini😅 sijui kuna upepo gani mbaya ila lazma akutose yani wanabadilikaga balaa
Vilipigwq mimba za kutosha zikaanza kucarry😅😅😅
 
Nina rafiki yangu St Josephu University, mbezi mwisho Naona kaoa tu, ila kwa ninavyo waangalia kwa jicho la mbali wakiondoka hapo chuo sidhani kama kuna ndoa hapo ni kunyanduana tu , aisee ukweli wanachuo wana nyanduana vikali [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio raha ya chuo bwana ..watu wagegedane vizuri na masomo yanaenda
 
Back
Top Bottom