Mtu na nusu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 680
- 1,306
- Thread starter
- #21
Nyumbani wazazi wamesubiri binti amalize chuo aolewe ili wapate mtaji kwa pesa ya mahali upande wa pili binti ana watoto wawili na mimba changa anayofikilia kuitoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
plus 3 alizochopoa , yaani kizazi chake kipo hoi bin taabanhanga anayofikilia kuitoa.
"Utakavyo fanya ndivyo nawe utafanyiwa"[emoji3] Kuna wadogo zako na binti zako
Umejiandaaje kwa Hilo?! maana dunia inazunguka hii.
Umemwambia kweli tupu.[emoji3] Kuna wadogo zako na binti zako
Umejiandaaje kwa Hilo?! maana dunia inazunguka hii.
Umekua jamanii kijana wangu,wa-oooo😘Ukiwa mzazi wa mtoto wa kike fanya yafuatayo kwa mwanao:
1. Akifikisha umri wa miaka 3 mfundishe masuala ya ubakaji.
2. Akifikisha umri wa miaka 9 mfundishe masuala ya kukua pamoja na ngono.
3. Akifikisha umri wa miaka 15 mfundishe masuala ya mapenzi na kwamba umri wake hauruhusu hayo mambo.
4. Akifikisha umri wa miaka 17 mfundishe masuala ya mahusiano na jinsi ya kukabidhiana nayo.
5. Akifikisha miaka 20 mfundishe masuala ya ndoa.
6. Akienda chuo kikuu muonye juu ya ngono na mfundishe juu ya umuhimu wa nidhamu ya ngono katika maisha.
Baadae nitarudi kwa ajili ya watoto wa kiume.
Ahsante sana kwa kutoa ushahidi.Mimi sitaki kuamini kuwa niliolewa pia nikiwa huko....uwwi[emoji18]
Pole Sana bibieMimi sitaki kuamini kuwa niliolewa pia nikiwa huko....uwwi[emoji18]
Sikuoa ila niliziweka geto pisi Kali mbili kwa vipindi tofautiMkuu wewe hukuoa?
Siku hizi hawatamanikiMiaka ya nyuma wanachuo ndo walikuwa ni watu wanaothaminika zaidi mitaani na hata vijijini... Siku hizi wanachuo ndo wamekuwa watu wa ovyo kabisa kuliko hata mateja wapiga debe kwenye daladala.