Wazazi, mnajua kama vijana na binti zenu wameoa na kuolewa huko vyuoni?

Hahahahahah chuo ni mahali pekee pa kutafunana bila kodi[emoji28] ya mbunye! Wote mnakuwa na leseni ya kupigana miti bila kipingamizi na kumalizana genye kwa kwenda mberee!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ninaposikia story kama hizi napata pressure sana, binti yangu anapenda madrassa hatari. Yaani ukitaka ugombane nae basi siku mwambie leo usiende madrasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utajua hujui.
 

Kunywa maji kwanza mkuu
 
Hahahah mwaka wa 2 kama una kademu kako mlikoanza mapenzi toka form 5 lazma kakupige chini[emoji28] sijui kuna upepo gani mbaya ila lazma akutose yani wanabadilikaga balaa
[emoji3] huo mwaka niliachwa Mara 5
 
Ni kweli ,watoto wa kike Kwa asilimia kubwa wanaharibika vyuoni Kwa sababu ya mifumo mibovu na Maisha kuwa magumu,lakini Kwao hyo ni changamoto (Transition period)
 
hii madaa nimeona nikashtukaa maana mm nipo na binti wa watu! but akimaliza niende kujihalalisha sasa maanaa! sionpoaa
DVC mzima unakula mbunye ya mkopo?😅😅😅
 
Hahahahah fasi dwasi ya changanyikeni
 
Daaaah, upuuzi tu sijui kwa vile sikuvahatika kufika vyuo vikuu, ila nasikitika tu nikiwatazama madogo
 
Unakuja unamparamia binti alishaolewa na kutoa mamimba kibao huko chuoni unashangaa mambo yenu hayaendi kwenye familia mikosi mtindo mmoja kumbe kuna damu zisizo na hatia na maagano huko zinawalilia...

Wengi wenu mmeoa wake za watu na waliozalishwa sana huko vyuoni japo hawana watoto na ukiwagusa "sijawahi kuolewa wala kuwa na mtoto" nyiiiingi. Kumbe ungejua ungekimbia asubuhi na mapema!

Na hawa wakikutana na waume zao wa vyuoni hasa kama waliachana kwa sababu ya umbali kupasha kiporo ni lazima sawa tu na singo mazas na baby daddies wao....

Ila waoeni tu msiogope....kila mtu apambane na hali yake![emoji706][emoji706][emoji706]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…