Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Mimi nakuwepo nyumbani full time kuanzia Febr mpaka April. Tofauti na hapo kwa mwezi naweza kuwa nyumbani siku zisizozidi 10, na hizo narudi saa 2. Hakuna mtu anayependa mtoto wake asome boardingDada wa kazi! Ukirudi usiku kutoka kazini unamuona, weekend unakua nae. Ugumu upo wapi?
Kama unauwezo unampelekea hoarding zenye uangalizi mkubwa kidogo. Mfano ziko shule matron mmoja anaangalia watoto 400. Kuna nyingine watoto 10-5 KWA matron mmoja. Hapo hata kufanya follow up inakuwa rahisi. Pia unawapa tips za pembeni ili jicho lao lielekezwe KWA mwanao zaidi.Mimi nakuwepo nyumbani full time kuanzia Febr mpaka April. Tofauti na hapo kwa mwezi naweza kuwa nyumbani siku zisizozidi 10, na hizo narudi saa 2. Hakuna mtu anayependa mtoto wake asome boarding
Suluhisho ni kuoaMimi nakuwepo nyumbani full time kuanzia Febr mpaka April. Tofauti na hapo kwa mwezi naweza kuwa nyumbani siku zisizozidi 10, na hizo narudi saa 2. Hakuna mtu anayependa mtoto wake asome boarding
Careers over families. --- hili battle halinaga mshindi🤣Mkuu kama hatuna watu wa kuwalea na kuwatunza wakiwa day, tungefanyaje?
wazazi ni wafanya kazi to the maximumSuluhisho ni kuoa
Kabla ya kuoa nafanyaje? Nafikiri Vincenzo Jr alitakiwa kuweka exception kwenye hoja, asiandike kama anaongea peke yakeSuluhisho ni kuoa
Kwa hali yako hapo vipi kwa ndugu yako wa karibu hasa dada zakoKabla ya kuoa nafanyaje? Nafikiri Vincenzo Jr alitakiwa kuweka exception kwenye hoja, asiandike kama anaongea peke yake
Hicho ndio kitu cha msingi. ndicho nilichofanya, hakuna mtu anapenda kupeleka mtoto boardingKama unauwezo unampelekea hoarding zenye uangalizi mkubwa kidogo. Mfano ziko shule matron mmoja anaangalia watoto 400. Kuna nyingine watoto 10-5 KWA matron mmoja. Hapo hata kufanya follow up inakuwa rahisi. Pia unawapa tips za pembeni ili jicho lao lielekezwe KWA mwanao zaidi.
Watanzania wengi wakikusanyana wanajua Watanzania wote wanafanya kazi nmb na kurudi nyumbani jioni na kutoka asubuhi ndio maana utaona hayo majibu kuwa alie na mtoto nyumbani anaona yeye anampenda kuliko ambae mazingira yanambana week end tu ndio anakua nae home,Mimi nakuwepo nyumbani full time kuanzia Febr mpaka April. Tofauti na hapo kwa mwezi naweza kuwa nyumbani siku zisizozidi 10, na hizo narudi saa 2. Hakuna mtu anayependa mtoto wake asome boarding
SIjaelewa, mtoto akalelewe na dada ama?Kwa hali yako hapo vipi kwa ndugu yako wa karibu hasa dada zako
Shangazi yakeSIjaelewa, mtoto akalelewe na dada ama?
Exactly 💯Kwann uzae mtoto usieweza kuw karibu nae ni ukatili sana huu
Mimi na dada zangu ni wanakijiji, mimi tu ndiyo nimepata kibarua huku town. Kwa hivyo mtoto wangu hawezi kusoma St. KayumbaShangazi yake
SawaMimi na dada zangu ni wanakijiji, mimi tu ndiyo nimepata kibarua huku town. Kwa hivyo mtoto wangu hawezi kusoma St. Kayumba
Ngumu sana kiafrikaKwann uzae mtoto usieweza kuw karibu nae ni ukatili sana huu
Mnawezaje kumtelekeza mtoto mdogo Shule ya awali mpaka msingi) shule ya boarding?
Yaani na nafsi zinakuwa huru kabisa ?
Upo kama MimiKatika ujinga ambao sitokuja kuufanya ni huo ,mimi kwangu atleast form one ndiyo aende boarding.
Baadhi ya wanawake ni wavivu sana ,wanaenda kumdamp mtoto mdogo shule ndiyo maana wanaharibiwa na kuja kuwa kina powpie na uncle T.